Huhitaji kutafuta aliye positive mkuu. Tafiti zinaonyesha kwamba kwa waathirika wanaotumia kwa usahihi ARV hawawezi kuambukiza wengine. Kwa hiyo kama tayari umeanza kutumia ARV, na unaitumia kwa usahihi kabisa. Amini kwamba unaweza kuoa aliye negative, na hata mkaweza kuzaa pasipo kumwambukiza HIV. Kikubwa zingatia kumuandaa vizuri mwenzako na usiende round nyingi sana zinazoweza kusababisha michubuko mikubwa.
Kwa tafiti za hivi karibuni, zinaonyesha waathirika wanaweza kuishi hata miaka hamsini iwapo watatumia dawa kiusahihi. Tumaini lililo mbele yetu ni kuwa tafiti zinafanyika kuona namna ya kuachana na vidonge vya kumeza kila siku, na badala yake kuwa na sindano moja per year, or per six months.
There is life after HIV infection, be courageous!