Iache nyumba yako ipumue

Hi ni kweli haina ubishi nililiona baada ya kuhama kutoka nyumba ya kupanga kwenda kwenye nyumba ya bure na yenye nafasi ya kutosha, nililala usingizi wa ajabu wa zaidi ya masaa 12
 
Hilo nalo neno murua kabisa - nyumba isiwe jalala (dumpsite)!
 
Sisi tunaolala stoo hii inatuhusu au mana tunalala chumbni kuna madumu ya maji kuna sufulia viatu
 
Huwa nakubali sana nondo za huyu mwamba barikiwa sana mkuu.[emoji120]
Back to the point nadhani kwa wale wenye nyumba zao hii inawahusu kabisa sema tatizo sisi waswahili koko ambao tumepanga uswahilini chumba kimoja
Mfano mimi naishi chumba cha single ambapo humo kuna kitanda, kabati, jiko, tv, fridge, meza na kisofa cha watu wawili hapo hapo ninahifadhi mifuko kadhaa ya cement kwa ajili ya ujenzi wa kijumba changu, pia nimehifadhi mkaa, mahindi, mchele,kwenye kona moja wapo kuna madumu ya maji na ndoo ya kukojolea (huwa sipendi kuchangia choo na majirani wachafu)halafu kwa kuwa mimi ni muuza majeneza kuna wakati mzigo mwingine huwa nakuja kuhifadhi humu humu gheto hata majeneza 10 nayasokomezaga uvunguni mwa kitanda mengine naweka juu ya kabati.
Mbaya zaidi nimeanza ufugaji wa kuku watatu na wote naishi nao gheto mmoja kaatamia mayai pia nna mpango wa kuanza kufuga bata nao ntakuwa naishi nao humo humo gheto nasikia wanazaliana sana ntapata faida haraka.
Kwa hali hiyo unapata picha gheto langu lilivyo yaani hata ukiingia tu unaona kabisa hakuna nafasi hata ya kusimama ni mwendo wa kuruka vitu mpaka ufikie kitandani
 
halafu kwa kuwa mimi ni muuza majeneza kuna wakati mzigo mwingine huwa nakuja kuhifadhi humu humu gheto hata majeneza 10 nayasokomezaga uvunguni mwa kitanda mengine naweka juu ya kabati.[emoji3064][emoji848][emoji3064][emoji2827]
 
Mtani we huaminiki wala hutabiriki... Unaweza kukuta nyumba unayozungumzia hapa ni ile nyumba ndogo...
 
Mtani we huaminiki wala hutabiriki... Unaweza kukuta nyumba unayozungumzia hapa ni ile nyumba ndogo...
Mtani wakili wangu kaniambia niwe makini sana..[emoji1544][emoji1550][emoji3]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…