Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,660
- 23,140
Umenikumbusha kuna nyumba moja nilipanga.... Lkn alienipisha aliniomba awache vitu vyake kwa muda maana alikuwa yupo mbali.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kuna aina ya mavazi
Aina ya mapambo
Aina ya mziki humtambulisha mtu hata anapoishi...! Unakuta mdada ana furushi la nywele kichwani tena bandia, ana hereni mbili mbili masikio yote, ana Kishaufu puani, ana mapete vidoleni mikono yote, ana mabangili, ana cheni shingoni, shanga kiunoni, vikuku miguuni..
Ana nyusi bandia kabandika, ana makeup mpaka hazitoshani usoni...huyu ukimkuta miziki yake anayopenda.... Ukikikuta chumba chake au nyumba yake ... Ukiikuta dressing table yake ni full vurumai
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kupanga sasa ndio masamiati mgumu kwao.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji8] hayo mabuku yao yatengenezee shelf uyapange vema huko na uwawekee masharti ya kutoa kwa ustaarabu na kurudisha kama kilivyokuwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kuna watu wengi sana wanaamini utajiri ni kumiliki kila aina ya kitu,mwisho wa siku wanajikuta wao ndiyo wameibeba Dunia,badala ya Dunia iwabebe wao!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kuna aina ya mavazi
Aina ya mapambo
Aina ya mziki humtambulisha mtu hata anapoishi...! Unakuta mdada ana furushi la nywele kichwani tena bandia, ana hereni mbili mbili masikio yote, ana Kishaufu puani, ana mapete vidoleni mikono yote, ana mabangili, ana cheni shingoni, shanga kiunoni, vikuku miguuni..
Ana nyusi bandia kabandika, ana makeup mpaka hazitoshani usoni...huyu ukimkuta miziki yake anayopenda.... Ukikikuta chumba chake au nyumba yake ... Ukiikuta dressing table yake ni full vurumai
Sent using Jamii Forums mobile app
Huanzia kwenye makorokoro baadhi yake kisha ndio humuingia mtu ama la nyumba huwa na mambo ya ajabu ajabu kama zile haunted housesMapepo yanakaa kwenye vyombo?? nilidhani yanakaa kwenye vichwa vya watu
Wananiudhi Sana hawa wanaopenda kutumia huo msemo wa 'kwani yeye anasemaje'[emoji57]Wwe bado unaonekana una utoto mwingi sana!!
Umenena vyema. Kwani wao wanasemaje?
Hata wadudu wengine nao ni mapepo,siyo wadudu Kama tunavyozani!!Si kila wenye mapepo wametupiwa wengine wameyakaribisha wenyewe kutokana na lifestyle ndani ya sehemu wanazoishi
Kiongozi, nifafanulie hapa... una maana mapepo yataingia kwenye nyumba iliyo na mlundikano? lifestyle? kwa vip?
[emoji2][emoji2][emoji2]yeah hiyo stage inachosha sana hasa kama unapenda mpangilio na usafi ndani kwako...lakini usichoke kuwazoeza wata cope tu baada ya mudaHapo kwenye kupanga sasa ndio masamiati mgumu kwao.
Wao wakishachakura hawajui kupanga. Nakoma kiumbe mimi.
Yaani kulikuwa na mapanya hadi tukilala wanatuchupia vitandani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha kuna nyumba moja nilipanga.... Lkn alienipisha aliniomba awache vitu vyake kwa muda maana alikuwa yupo mbali.
Bhana wee hayo mavitu alokuwa nayo mie mwenyewe nlichoka.
Siku alokuja kutoa vitu vyake nilishukuru.
Hayo mawigi. Maviatu mengine hakuwa hata anayavaa. Viti vibovu yaani kuna vyengine nlishaanza kuvitupa kabla hata mwenyewe hajaja. Nikabakiza vile nnojua ni vya muhimu.
Yaani kulikuwa na mapanya hadi tukilala wanatuchupia vitandani.
Baada ya hapo nikafanya renovation na usafi wa kufa mtu. Mpk nahama panya tulikua tunawasikia kwa jirani tu.
Nadhani pia ni aina ya ugonjwa wa akili, kutojiamini na kujikana uhalisiaTatizo kuna watu wengi sana wanaamini utajiri ni kumiliki kila aina ya kitu,mwisho wa siku wanajikuta wao ndiyo wameibeba Dunia,badala ya Dunia iwabebe wao!!
Huo ni ukwl mzee baba..halafu kwenye usafi ni malalo ya utajiri sometimes kwenye uchafu nako umasikini juu...
Hoja ya msingi sana hii.... Mkuu umeongea ukweli mtupu.....
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] wengine ni mpaka ofisi zao na magari pia... Ofisi ni kama ghala ya vichaa na gari ni kama dample la cityHii ni ya uhakika na sahihi kabisa.
Hata kama itahitaji gharama kidogo lakini italeta matokeo chanya
🤣🤣🤣Sawa bwana mkubwaUkumbuke na mapazia, vioo, utando wa buibui darini, majani nje [emoji2] nknk
Huanzia kwenye makorokoro baadhi yake kisha ndio humuingia mtu ama la nyumba huwa na mambo ya ajabu ajabu kama zile haunted houses
Sent using Jamii Forums mobile app