Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,512
Nilikuwa najua kusoma ni ujinga tangu nilipokuwa shuleni na chuoni but sasa hivi natamani hata nisingesoma kabisa, zaidi ya marafiki wachache nilowapata hakuna cha zaida nichopata, ningekuwa na uwezo wa kurudisha nyuma mda nisingesoma
Gamba langu la Engineering tangu nipolichukua miaka kama 5 ilopita sijawah kufikiria kulitumia, elimu ya maana ni primary tu. Ukisoma sana unajiandaa kuwa mtumwa wa kisasa
Gamba langu la Engineering tangu nipolichukua miaka kama 5 ilopita sijawah kufikiria kulitumia, elimu ya maana ni primary tu. Ukisoma sana unajiandaa kuwa mtumwa wa kisasa