i wish ningekuwa na uwezo. . .

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
mambo wana chitchat, leo nimeota ndoto nzur kwel. kwamba kuna mtu kanipigia kwa namba ngeni (namba ambayo sijaisave kwny cm yangu) nikamuuliza wewe ni nani akaishia kunizingua tu mpaka nikashtuka toka usingzin bila kumfahamu ni nani. cha ajabu hadi namba naikumbuka kichwani. cjui nimpigie ili nimfahamu, au ningekuwa na uwezo ningelala tena afu niendeleze ndoto ile ili nimfahamu ni nani!
 

Haya nipigie basi..... vipi uliisikiaje sauti yangu? Tamu eh?

 
Itakuwa ninaniii hizooooooooooooooooooooooooooo.
Kama vipi umdip
 
charminglady mzima weye?? lol, sio na hiii kweli?? mpigie bana
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa....
Lala tena, utaota tu.
 
Amyner vipi?? umepotea sana, au umeolewa mke wa 5 na jk, lol!

Hahahaha shost umenchekesha, mke wa 5 au 35, maana jamaa kwake kipaji.. Mwaya nipo. Namsubiri charminglady atupe report akishaenda hewani!
 
Last edited by a moderator:
aashii yaani wakati tunaongea kumbe ulikuwa umeshalala?nashangaa hv sasa ni mimi bwana
 
Iweke namba hapa inawezekana ni mwana jf ndo kakubip huwezi jua
 
Jamaa ni HB kapiga mayenu hadi shingoni alaf anauza kahawa hapo mwaloni kama sio maeneo ya mabatini au nyakato!
Atakuwa ndio huyu aliye kupigia.
nahc unazungumzia kuhusu picha,me cwez ku-view hebu nambie picha ipoje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…