I wish Mh. Paul Makonda ahamie Dodoma

I wish Mh. Paul Makonda ahamie Dodoma

Dar bado tunamhitaji hakujakaa sawa bado tembeleya mitaa ya gerezan uone lami inavyobadili mji
 
Makonda haondoki Dar,ndio kwanza kaenda china kuchukua mashine za viwandani kwa wananchi wake wa Darisalama
 
Naamini mkoa wa Dodoma unahitaji kiongozi kijana mwenye amsha amsha kama Mh Makonda, huyu bwana akipelekwa kule ile idea ya kuifanya Dodoma yakijani itafanikiwa na mambo mengine kibao.
Nadhani serikali ifikirie kuhama na huyu bwana.
Kaeni nae hukohuko awaamshe amshe wavivu was Dar.huku bado
 
Bwege ww upinzani unalipa ndio maana congress wanafikiria kuua na kuwaficha ili maovu yasionekane
 
Naamini mkoa wa Dodoma unahitaji kiongozi kijana mwenye amsha amsha kama Mh Makonda, huyu bwana akipelekwa kule ile idea ya kuifanya Dodoma yakijani itafanikiwa na mambo mengine kibao.
Nadhani serikali ifikirie kuhama na huyu bwana.
Nadhani Dodoma na Ruvuma ndio mikoa ya "Kijani" zaidi nchi hii.
 
Usinipangie mi ndo nayepanga nani akae wapi sifanyii kazi porojo za mitandaoni
 
Pia inapendeza yeye kuongoza mkoa anaoishi rais na viongozi wengine.
Tafadhali sana huyu kijana anafaa kuwalinda viongozi.
 
Kuna vitu alivyofanya Makonda vikanishangaza kwanza sakata la WARIOBA, pili sakata la kuvamia kituo cha CLOUDS, tatu sakata la vyeti vyake na jinsi alivyofuatilia sakata la madawa vya kulevya. Pamoja na kuwa na marafiki na maadui wengi ila kwa kipindi hiki cha uongozi huu mtu ,taasisi au shughuri yeyote upende usipende ikifanywa kwa Baraka ya huyu mkuu wa mkoa itafanikiwa.Anajua mwenyewe mbinu anazofanya ila hata kwa Dar makonda anafanya kazi za waziri wa ulinzi, mambo ya ndani, Utamaduni, Elimu nk. Nakubaliana na mada MAKONDA akipewa DODOMA ataikimbiza sana na ukizingatia bado ana kazi ya kujipambanua vizuri mbele ya macho ya watu kwani madoa ya Dar es alaam bado yapo na pasingekuwa na yale madoa katika utendaji wake huko nyuma pale Dar basi MAKONDA angekuwa ni mwanasiasa aliyefanikiwa kwa muda mfupi katika kipindi hiki cha awamu ya tano.MAKONDA APELEKWE DODOMA akatengeneze jiji.Dar ilishaharibika sana waachiwe wazee
 
huyu anapambana na manunda wa dar, dodoma yeyote anapaweza
 
Back
Top Bottom