I wish Mh. Paul Makonda ahamie Dodoma

I wish Mh. Paul Makonda ahamie Dodoma

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Naamini mkoa wa Dodoma unahitaji kiongozi kijana mwenye amsha amsha kama Mh Makonda, huyu bwana akipelekwa kule ile idea ya kuifanya Dodoma yakijani itafanikiwa na mambo mengine kibao.
Nadhani serikali ifikirie kuhama na huyu bwana.
 
hilo swala bado linawaumiza kichwa unadhani dom ni sawa na dar?

hakuna mishemishe za clouds, mara bomoabomoa, huku mafuriko, n.k
 
wapinzani watakuunga mkono maana akiondoka dar wanadhani wataokota dodo
 
Makonda Dodoma itapendeza sana kijna na mchaoa kazi pia mbunifu Mahenge apumzike umri ushamwacha ahachie damu changa.
 
Duhhhh.....[emoji45] [emoji45]
Dodoma again....[emoji15] [emoji15]
 
Kwanini umeandika kijani.. kwani wananchi wa Mkoa huo wote wamekuambia wao ni wanataka kijani tu iwepo maishani mwao au wanataka uongozi unaotawala kutenda mazuri na sio kikijani!?
 
Back
Top Bottom