Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Hiyo avatar yako imenifanya nishindwe kucomments hebu ibadili basi
Duh!kweli mkuu,dogo anasura mbaya!inatisha!!
hahahaha dena umenifanya nicheke asubuhi,nini kimakuudhi kwa hiyo pic ni hayo meno nini?hahahahahMie ananiboa kweli na hiyo sura
hahahaha dena umenifanya nicheke asubuhi,nini kimekuudhi kwa hiyo pic ni hayo meno nini?hahahahahMie ananiboa kweli na hiyo sura
hahahaha dena umenifanya nicheke asubuhi,nini kimakuudhi kwa hiyo pic ni hayo meno nini?hahahahah
Hiyo avatar yako imenifanya nishindwe kucomments hebu ibadili basi
Siyo mbaya ukido halafu uje utufahamishe ulijisikiaje kuliko kuweka mambo ambayo nadhani hakuna hata mwanaJF mmoja ambaye ameshawahi kufanya au kufikiri kufanya ukitoa wewe mtoa mada hii?
Mambo vipi wana JF!!
Ni siku nyingine tena ya Alhamis tulivu kwangu!! Wakati nakuja kwa ofisi mara ikapita GUTA kuna dada mmoja kakaa juu yake na mizigo yake michache,I think alikuwa anawahishwa kwenye mihangaiko yake na huyo jamaa!
Nikaanza kudadis hivi hii GUTA imekaa kama kitanda vile,hapo ni kuweka GODORO na kuanza kudu mambo ye2 yale,nikawa nawaza yule dada kalala juu ya GUTA,urefu safi kabisa,upana kwa wanandoa unatosha,tairi za nyuma zipo fresh ni kuweka kitu cha kuzuia movement 2!!
Jamani kwa watu kama mimi unaona kitanda gharama ha2wez kutengeneza GUTA ikawa 2 in 1 i.e mchana inapiga mzigo na ucku kitanda???? I wish nidu sex na mwenzi wangu juu ya GUTA ili niweze kuleta hii research fresh!!!!!
Mh!mbona umeenda mbali sana!kwa nini unawaza ngono tu!kwa nini usiwaze namna ya kuiboresha guta ibebe mizigo mingi zaidi na kupunguza utumiaji wa nguvu nyingi za binadamu wakati wa kuiendesha?
Mie ananiboa kweli na hiyo sura
Ushazini tayari na huyo dada mkuu. Watanzania bwana badala ya kufikiria nanma ya GUTA kuliwekea engine au modifications zingine ili liongeze ufanisi katika kazi wewe unafikilia kulifanyia mambo ya ajabuajabu. Itatuchukua miaka mingi sisi watanzania kuendelea, maana hata kwenye kazi sie twaweka vikwazo
sio mbali mkuu na wala siwazi NGONO 2 but hilo la kubeba mizigo mingi wengi sana wanalijadili sio k2 kipya,mimi nimefikiria kwa upande wangu kuhusu kudu na mwenzi!!