I wish I had a husband already

I wish I had a husband already

We unafikiri Jf imejaa wanawake tu? Au nitoe siri? Nilidate na mtu from Jf for three years and everything was going well with the relationship..this is just a new ID (my interest declared)
Yani unadate na yeye miaka mitatu nothing output. Hujioni kama Galasa.??? Ko miaka 3 imekushinda uneona utafute Express wa dakika 3.

Nafuu uendelee kulea mwanao
 
Mm sio mfupi. I can expose myself for this sake
Wanaume warefu wapo PM tunayajenga nyie wafupi endeleeni kutokwa na mapovu hapa
Just can't entertain your foolishness.

Naendelea kukusisitiza “LEA MWANAO”
 
Kwa kifupi kama Ka.tiwa na jamaa wa JF ina maana Sisi masela wote wa JF tumepita . Jamaa si katuwakilisha. Acha tuendeleze harakat
Atakuwa na msongo w Mawazo akifikiri jamaa alivyompiga sound akaingia mkenge na leo jamaa ameshazalisha na yuko mbali nae hata habari ya ndoa haisikii
 
Kwa kifupi kama Ka.tiwa na jamaa wa JF ina maana Sisi masela wote wa JF tumepita . Jamaa si katuwakilisha. Acha tuendeleze harakat
See now you can't stop with your nonsense comments be smart at least once bro
 
muacheni binti ajitafutie ndoa, wanawake kuolewa cku hizi ni inshu saaaana.
 
Kupata mume si rahisi kama unavyotaka...ukikua utaelewa namaanisha nini,mume ni zaidi ya u-handsome,se.x n.k,natumia uzoefu wa kuwa kwenye ndoa zaidi ya miaka 10+ lakini ukituona utafikiri ndio tumekutana leo.Mara nyingi mume atafutwi kwa njia unayotumia wewe,bali huwa anakuja 'automatic' kutokana na wewe unavyojiweka katika mazingira yanayokuzunguka.Kama unadharau...utawapata watakaokudharau na mwisho wa siku ni kuchapwa tu,na hata kama kuna ndoa itakuwa ni ile ya misukosuko.
 
How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.

Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.

Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.

Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
kukiwa na dalili (pm) tujuze tuandae mchango wa harusi
 
Back
Top Bottom