I wish I had a husband already

Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need
Mngekuwa mnatekeleza haya yote kama ilivyoandika...???


Halafu mpunguze u-slay queen
 
Asante, shukrab sana james
Inawezekana dini imeku-shape vizuri we binti/dada, huenda pia wazazi wamkulea vizuri kwa maadili mema. Kama unayoandika unayaishi then you've a great personality, I like reading your comments, they're very constructive most of the time.

Umeolewa?
 
Hizo ahadi "mia" unadhani utazitimiza? Uliza wenzako walioko ngomani, wanaweza kukupa neno moja au mawili kuhusu ahadi zako.

Nadhani bado ujana maji ya moto unakusumbua, uko too desperate, too picky, japo pia ni vizuri kutafuta unachohitaji. Ila hizo ahadi hizo....!!
 
Shukrani mnoo, nimeisoma hii comment ako zaidi ya mara tatu na kujikuta natabasam tu, me naomba niseme vyote, wazazi na dini pia imechangia niwe hivi


Sjaolewa but Allah akipenda sina muda mrefu.
Inawezekana dini imeku-shape vizuri we binti/dada, huenda pia wazazi wamkulea vizuri kwa maadili mema. Kama unayoandika unayaishi then you've a great personality, I like reading your comments, they're very constructive most of the time.

Umeolewa?
 
Yaan me siaminigi hawa wanaoutafuta wapenzi mitandaoni..
Huko nje kote umekosa
 
A woman should not choose the husband to be this days,a woman should know how to shape some one to be a good husband,hivi vigezo mnavyoweka mara I want some one with a nice car,a nice chest to touch,mara seven packs and a nice dick able to satisfy me,jiandaeni kuzeekea majumbani kwenu,povu ruksa maana nna turubai chafu
 
Upweke n kitu kibaya sana, aya muangalien mwngne uyu anaongea peke yake, na hakuna kujiua
Kuna umri wakifikiaga, akili huwakaa sawa, huyo alipokua ana umri wa kuanzia 20-23, nyodo kibao. Itabidi aweke kibao cha 'tunauza maziwa na ice cream hapa'.
 

Japo mimi nimeoa tayari, ila nimeguswa na nia yako njema. Nakuombea Mungu akupe mume mwema kama yeye Muumba alivyokusudia ndoa iwe namna gani pale alipomkabidhi Eva kwa Adam ili awe mke wake.

Kumbuka na uahidi toka ndani ya moyo wako kuwa ukimpata umkubali katika tabu na raha, uzima na ugonjwa na umpende na kumheshimu siku zote za maisha yako
 
Pale maji yanapofika kwa shingo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nikionacho hapa ni unatafuta mwanaume wa kuuza naye sura maeneo kama ya Mlimani City.
 

Kupendelea kitu fulani sio dhambi, huyo sistrer hakufanya vibaya kupenda mwanaume mrefu ili mradi awe tayari kumpokea mume ambaye Mungu atampatia hata kama hatakuwa mrefu hivyo msimlaumu kwa kuelezea hisia zake, ni kama pale mtu anapoomba apate mtoto mvulana au wa kike lakini Mungu anampatia wa tofauti, mtu huyo atakuwa na haki ya kulaumiwa kama tu atalaumu badala ya kupokea alichopewa na Mungu, Hivyo tusiogope kuelezea hisia zetu tunapenda nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…