Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,878
Mhhhh sijui kama itatuingia akilini
Haya ile kampuni iliosifika na ubadhirifu wa fedha na kulitia hasara serikali na taifa kwa ujumla kwa lipa manispaa sh million 1.5 huku wakipata zaidi ya sh million kumi kwa siku....mpaka pale waziri mkuu alipopenyezwa na kuamua kulivalia njuga.....hatimae kampuni hi ilihitimisha UFISADI wake mwezi wa kumi mwaka huu ikatangazwa tenda ya MACHINGA COMPLEX
...hatimae halmashauri ile ile wameamua kuwapa tena tenda ya machinga complex kampuni hii ya mafisadi....sasa nahisi mafisadi wameamua kujipanga na hakika hata kwenye hiyo kampuni nina uhakika sidhani kama ni ya kingune pekee...
Any way alipoulizwa mbunge Zungu alijibu mi nimesikia tu ila niulize kesho ntakuw na majibu zaidi ...hakika kazi ipo kuwaondoa kabisa hawa mafisadi ...haya tunawatakia heri na huko MUWALIZE VIZURI WATANZANIA