I smell ufisadi at Machinga Complex | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I smell ufisadi at Machinga Complex

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Pdidy, Nov 13, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  Mhhhh sijui kama itatuingia akilini

  Haya ile kampuni iliosifika na ubadhirifu wa fedha na kulitia hasara serikali na taifa kwa ujumla kwa lipa manispaa sh million 1.5 huku wakipata zaidi ya sh million kumi kwa siku....mpaka pale waziri mkuu alipopenyezwa na kuamua kulivalia njuga.....hatimae kampuni hi ilihitimisha UFISADI wake mwezi wa kumi mwaka huu ikatangazwa tenda ya MACHINGA COMPLEX

  ...hatimae halmashauri ile ile wameamua kuwapa tena tenda ya machinga complex kampuni hii ya mafisadi....sasa nahisi mafisadi wameamua kujipanga na hakika hata kwenye hiyo kampuni nina uhakika sidhani kama ni ya kingune pekee...

  Any way alipoulizwa mbunge Zungu alijibu mi nimesikia tu ila niulize kesho ntakuw na majibu zaidi ...hakika kazi ipo kuwaondoa kabisa hawa mafisadi ...haya tunawatakia heri na huko MUWALIZE VIZURI WATANZANIA
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,319
  Trophy Points: 280
  Huu ni udhibitisho ampuni hiyo itatumia ...
  advantage yake...
  ya long experience...
  ya uzoefu wa muda mrefu...
  kuetekeleza tenda ndefu..
  kwa muda mrefu ujao.

  Kwani kuna kampuni gani nyingine yenye uzoefu kamas hiyo?. Hapa tunaangalia uzoefu tuu, ndio maana ni Jeethu Patel peke yake ndiye mwenye long experiance ya deal nene nene kama za EPA, baada ya lile deal la EPA, fedha hizo ndizo zinatumiwa kutekeleza Kilimo kwanza, na tenda imekwenda kwa mzoefu Jeethu. Rostam pia aliomba hakupewa kwa sababu yeye uzoefu wake ni kwenye kazi maalum ambayo atapewa 2010.

  Hii ndio Tanzania yetu, tunatoa tenda kwa wenye uzoefu.
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,796
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  .....zungu la unga!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  umejuaje hata hivyo ataki kusikia hivyo..
   
 5. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mzee kapewa kiinua mgongo
   
 6. S

  SOLO BIZZLE Member

  #6
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama manispaa ile ile iliogundua kama inaibiwa pale ubungo ndo hiyohiyo inatoa tena tenda pale machinga complex it means baadhi ya watendaji wa manispaa na kampuni ya kingunge wote wanakula sahani moja ...............watoto wa mjini tunasema hili ni changa la macho kwa sisi walala hoi ambao labda nyere arudi ndo sauti zetu itasikika tena...
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  HII NDO BONGO ZAIDI YA uijuavyo WADAU
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Haya mazee yanayojifanya yanaimiliki tanzania ndiyo yanatufilisi, mimi nawambieni kweli, naombea kingunge afe! Pamoja na wote wanaojiona wazee wa nchi! Wafe, na mungu awalaani, laana iwe kwao wote na wapiga kura wao.
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kupeana ulaji waziwazi!
   
 10. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi ni manispaa au halmashauri ya jiji la dar es salaam? Maana kama ni manispaa ubungo nafikiri ni manispaa ya Kino na Machinga Complex hiko manispaa ya Ilala.

  Anyways....shukrani kwa taarifa mkuu maana hiyo ni nondo ya ukweli.Mzee Kinguge naona kazi anayo,anabwabwaja huku na kule halafu anaendelea kulitia taifa hasara.....pumbafu kabisa!
   
 11. m

  maembe Member

  #11
  Nov 13, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli wadanganyika ni wapole sana na dio maana hayo mambo yanafanyika bila hata ya woga. hivi kweli kweli kweli kabisa bila hata ya kuona aibu kidogo kwamba jamani nyie milishaiiba vya kutosha sasa basi tuache tujenge nchi no watu wanazidi kupena KAZI!

  mi sipati picha hao wanao simamia haya mambo kama wapo makini kani nafikiri hiyo haiitaji elimu ni swala linanaloonekana wazi pasi na doa kua walikua wanaiba ubungo terminal leo wanapewa tena watuibie machinga complex inauma sana aise sio siri. ila ipo siku tutachoka halafu watatueleza vizuri . utakuta ndio hao hao wanakusanya pesa za packing mjini dar hawaboreshi wala hakuna wanacho fanya pesa wanapeleka wapi wanajua wenyewe sisi tunalipa tu

  KWELI HII NCHI IMEOZA NA INATIA AIBU KWA MAMBO YANAYOFANYWA NA VIONGOZI NA SISI TUMEZIDI UPOLE WADANGANYIKA

  DU HOI KABISA SINA HAMU
   
 12. M

  Magezi JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  acheni wampe jamani hana lolote......amesomea mahoka sasa atakula nini? Angekuwa lawyer, engineer, mchumi labda angeweza kufanya consultancy, sasa huyu elimu yake ni kuijua CCM vizuri......na watu wa aina hii ndo hawana vision ya maendeleo.....wao wananfikiria watawezaje kuishi ndani ya CCM maisha yao yote.
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Usilaumu wadanganyika wewe ungefanyaje kama ikulu inalinda mafisadi?? Unataka wanachi wauawe tu na polisi??
   
 14. M

  Mtu Kwao JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2009
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 258
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Haya yanawezekana tz tu.haya angetokea mahali pengine nina hakika hii familia ingekuwa jela.
   
 15. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wewe usiseme pumbafu, sema nyambaaaaafffffff
   
 16. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu huyu mzee Kingunge akiulizwa anasema si Mimi ni Kampuni ya Mama na kijana wangu... This is bullshit..!
  Huu ni unyonyaji wa hali ya juu.!
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280

  astagafulllilah
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  nitakula wapi jamani-huu ndio usemi wa familia ya kingunge while akismile na mkewe.

  [​IMG]
   
 19. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,725
  Likes Received: 3,143
  Trophy Points: 280
  Kweli Tanzania mabadiliko ni ndoto za mchana. Sioni ajabu watu wakisema walaaniwe. Huu utajiri wanaotaka ni utajiri wa nini lakini? Kwa nini lakini wanatufanya sisi kama hatuna akili nzuri. Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye..........na watabarikiwa wale wote wanaodhulumiwa usiku na mchana. Siku yaja yana mwisho haya.
   
 20. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wizi mtupu kampuni ipo ya kingunge tu??
   
Loading...