Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,146
Mzee kapewa kiinua mgongo
mtabaki na mawazo hayo hayo ...
Mzee kapewa kiinua mgongo
huyu babau ndiyo maana haishi kumwandama spika sita na wanaopinga ufisadi anajijua kuwa ananufaika na kampuni yao ya kifisadi na mwanae hivi tunakwenda wapi nchi hii? mpaka watu washike mapanga kama rwanda na burundi?Tuacheni tule bata wetu kwa ulaini mwa kwetu
mtabaki na mawazo hayo hayo ...
wewe ndo unaona ya kifisadi ..ndo maana kila mara nasema umasikini wetu watanzania ndo unaotusumbua ...mtu ame bid kama companies zingine na amepata tenda tatizo liko wapi?i dont understand
Mmeshcheki tabasamu la yule mzee? Mnadhani hiyo "perfect set of teeth" alitengenezewa na daktari wa meno wa Hospitali ya Temeke?
That denture (among other things) costs money....and that money has to come from somewhere!!!
Tatitizo ni kwamba juzijuzi amefail kuleta ufanisi ubungo stendi.kwanini apewa tena tender? Hata chuoni ukidisco kurudi ni mpaka uonyeshe kwamba umejiendeleza.Yeye hata mieze mitatu badowewe ndo unaona ya kifisadi ..ndo maana kila mara nasema umasikini wetu watanzania ndo unaotusumbua ...mtu ame bid kama companies zingine na amepata tenda tatizo liko wapi?i dont understand
Mhhhh sijui kama itatuingia akilini
Haya ile kampuni iliosifika na ubadhirifu wa fedha na kulitia hasara
serikali na taifa kwa ujumla kwa lipa manispaa sh million 1.5
huku wakipata zaidi ya sh million kumi kwa siku....mpaka pale waziri mkuu
alipopenyezwa na kuamua kulivalia njuga.....hatimae kampuni hi ilihitimisha UFISADI wake mwezi wa kumi mwaka huu
ikatangazwa tenda ya MACHINGA COMPLEX...hatimae halmashauri ile ile wameamua kuwapa tena tenda ya machinga complex kampuni hii ya mafisadi....sasa nahisi mafisadi wameamua kujipanga na hakika hata kwenye hiyo kampuni nina uhakika sidhani kama ni ya kingune pekee.....
any way alipoulizwa mbunge zungu alijibu mi nimesikia tu ila niulize kesho ntakuw na majibu zaidi......hakika kazi ipo kuwaondoa kabisa hawa mafisadi...haya tunawatakia heri na huko MUWALIZE VIZURI WATANZANIA
Wacheni unafiki nyie!!! MAKEKLELE YOTE HAYA NI SABABU HAMNA JINSI .....HUMU HAKUNA MTU AMBAYE HANA NJAA...!!! NI KWAMBA MNAPIGA MAKELELE SABABU HAMJAIPATA HIYO LINE....HAKUNA MWENYE JEURI YA KUKATAA LINE KAMA HIZO TUSIDANGANYANE....HATA MIMI ZIKIKAA VIZURI NAPIGA