Hello my dears Wana JF,
Napenda kuelimika katika hili swala, na hisi kuwa huwa na bore hubby kutokana sijui ni mazoea au sijui cha kuongea naye! Nifanye nini ili nisiwe na mbore, maana mimi nadhani nimkimya sana inaweza kupita masaa manne hatujaongea kitu, na sipendi kuongea pumba nikaonekana wa kuja. Msaada tafadhalini wandugu
no no no no no no!women are weak naturally.....

haki ya Mungu utaachwa! We ongea tu hata kama ni pumba. Laiti ungejua yanayozungumzwa na wapenzi wakiwa faragha
Hili ndilo jibu nililotarajia...maana kibinadamu this is too much wajameni.
Hili ndilo jibu nililotarajia...maana kibinadamu this is too much wajameni.
Exactly! yani ndugu yangu wewe umenipata na umenielewa vizuri sana katika hili swala...ni kweli kabisa niyaongeyao yanaonekana pumba kwake. Sio kwamba mimi sio muongeaji, tena ni mpiga soga ile mbaya.Mazee maisha sio faragha peke yake. Mdau hajasema kwamba anakosa la kuongea huko faragha (labda kama nahitaji ku-elaboreti), yeye kama nimempata anasema Mr. Right wake haoneshi kumuapreshiet anachoongea, yaani ndo kama vile yaani aaargh pumba flani ivi anaona anampotezea stimu..Sijui kama umenipata. Hiyo ni dalili mbaya sana kwa mawazo yangu.
Yani asante sana kwa ushauri wako mzuri kaka, alafu nikimgusia hicho kipengela hapo juu, basi hata kama alikuwa hana pesa atakopa tuu ili uondoke, yani naona hujiskia fresh sana.Duh..mama pole sana. Ndio hivo tena kubali matokeo na angalia ustaarabu mwingine hata kama sio kwa kuvunja ndoa au kukidhi haja za kingono, kuna vitu vingi vimeumbwa kumfurahisha binadamu..kuna marafiki, misosi fresh, vinywaji, kusafiri dunia, watoto kama unao etc vikazanie hivyo, sio kila ndoa itakuwa ideal..accept and move on.
sipendi kuongea pumba nikaonekana wa kuja.
Yani asante sana kwa ushauri wako mzuri kaka, alafu nikimgusia hicho kipengela hapo juu, basi hata kama alikuwa hana pesa atakopa tuu ili uondoke, yani naona hujiskia fresh sana.
Women are weak naturally.....
Yani asante sana kwa ushauri wako mzuri kaka, alafu nikimgusia hicho kipengela hapo juu, basi hata kama alikuwa hana pesa atakopa tuu ili uondoke, yani naona hujiskia fresh sana.
women are weak....periodNo Way!!! the strongest ever is the female of the species...
women are strong and not weak!!! gosh by golly wow!! you got it all wrong.
Pengine unisaidie zaidi hivi mwanamke kuwa mnyenyekevu ndo anatakiwa kuwaje. Na je hivi ukikuta pengine mwenzio alikuwa anakuambia pengine ana company then ukaja kufind out ni uongo unatakiwa u act vipi.Yawezekana unaongea mno kupita kiasi, na pengine unajifanya mwalimu wa kumfundisha kila jambo. Yaani unaonekana unajua kila kitu mbele yake. Wanaume wengine hawapendi wanawake wanajifanya kujua kila kitu au wanaozungumza mno kupita kiasi, kwani - mawazo yao - unatishia uanaume wao. Tena ona wewe mwenyewe unasema huwahupendi kuongea pumba. Kumbe kwa kila unachoongea unakuwa umekitafakari sana kiasi kwamba utakapoongea iwe point nzito mbele ya mumeo. Kumbe kama mlikuwa kwenye kujadili jambo ungependa point yako ipite. You are not cheap! Hiyo si nzuri mama. Jaribu kuwa mnyenyekevu. UKubali kukosolewa pia na kufundishwa na mwenzako. Kumbe mwenzako anakuona kero, na anaona akae kimya na kukushiti kana kwamba hujaongea kitu hata kama umeongea cha maana. Anataka kukuonesha kwamba wewe pengine si kitu sana kama unavyofikiri. Ukiomba likizo anakupa mara moja ili aondokane na "profesa" ndani ya nyumba. Nasema hivi nataka kusoma mawazo yenu. naweza nikawa nje, lakini yaweza kuwa sababu. Tafakari bila kujihurumia.
haki ya Mungu utaachwa! We ongea tu hata kama ni pumba. Laiti ungejua yanayozungumzwa na wapenzi wakiwa faragha