samahani ntakujibu swali lako kwenye PM please.
Nasita kuendelea hapa..nitakuPM muda si mrefu
Pole ndugu!...jamani ee, kuna ulazima kusema hadharani 'nitaku PM?' endeleeni tu huko huko kwenye PM bila 'kutudodeshea' hapa 😀
Pole ndugu!
bora basi hata kungekuwa na hiyo sms ningekuwa namatumaini....Usijali.
'nitaku PM...' is boring! Hata wewe na Mr Mtaba communication yenu ikiwa 'nitaku SMS...' maisha yenu nyumbani yatakuwa boring vilevile, au unaonaje?
bora basi hata kungekuwa na hiyo sms ningekuwa namatumaini.
Women are weak naturally.....
Nahisi kuwa huu ni ushauri bora kuliko zote zilizotangulia, nimeupenda ushauri wako dadangu. Zaidi ya ushauri huu itabidi Mrs Mtaba ukubali kuulizwa maswali mengi na uyajibu, otherwise itakuwa ni ngumu kulielewa tatizo. Ninavyofahamu mimi sisi wanaume hata tukiwa wakimya na wakali kiasi gani tunapopatiwa hunywea na kusalimu amri, wala haihitaji kujitia utumwa ili kuweka mambo sawa.Pole shost najua utakuwa kweli boring. Ndoa inabidi watu muwe marafiki na mkishakuwa marafiki story huwa haziishi. Hivyo jitahidi kumfanya mume wako awe rafiki yako na uwe naye karibu. Hata kama anajifanya busy we mpigishe story tu, na ukiona bado anakaa kimya mwambie kwamba hupendi anavyokaa kimya wakati ww unaongea. Ukiwa unamfanyia hivi mara kwa mara mwenyewe atajirudi na kuanza kupiga story nawe.
Kwa kweli inaniwiwa vigumu kweli, maana hata siku moja husikii hata akiongelea kama maendeleo yetu, pengine tufanye nini ili tuweze kuendelea. Akipewa ushauri unaonekana kwake haufai basi ni taabu tupu.Hasemi nini anachopenda nimfanyie, nikimuuliza anazuga nakukaa kimya!
Duh hii kali, sasa kama ni mambo ya maendeleo kuh familia yenu mtashauriana vipi? Jaribu hivi mnapokuwa mbali mbali jaribu kumtumia sms za mapenzi onyesha jinsi gani unavyompenda, unavyommis, unavyomhitaji ktk maisha yako n.k maybe it can help
Nikweli sasa nitayajuaje kama mtu haongei jamani.Mrs Mtaba pole sana. vipi labda mumeo yupo busy sana na kazi au kuna mambo yanamchanganya akili.
Hili ndilo jibu nililotarajia...maana kibinadamu this is too much wajameni.He he he..mie simo na sijui..mi nadhani movie inayoitwa He is just not into you inaweza kusaidia kuelewa ukweli wa mahusiano ya wawili hawa au wengine wote wenye misongo ya dizaini hii..(vidole hivyo wadau, msije nitoa macho,lol)
Hello my dears Wana JF,
Napenda kuelimika katika hili swala, na hisi kuwa huwa na bore hubby kutokana sijui ni mazoea au sijui cha kuongea naye! Nifanye nini ili nisiwe na mbore, maana mimi nadhani nimkimya sana inaweza kupita masaa manne hatujaongea kitu, na sipendi kuongea pumba nikaonekana wa kuja. Msaada tafadhalini wandugu