Nashukuru dada (samahani kama wewe ni kaka), ni kweli najikuta nakaa kimya kutoka na respond zake (sometimes hukaa kimya hanijibu au anaweza kunipa short answer ya kunikatisha tamaa kabisa). So kuepusha maumivu hujikuta nakaa kimya. Pengine niulize je kuna mahali (may be website) mtu huweza kupata tips how to talk to your man, how to respond to him etc.Pole ndugu yangu.Umeolewa na bado unamwogopa Mr wako?
Jiachie, hata kama ni pumba basi atakurekebisha na polepole utakuwa sawa tu.Ukijifanya bubu, anaweza akakutana na mafundi wa kuongea akakuona wewe si mali kitu!
Nashukuru dada (samahani kama wewe ni kaka), ni kweli najikuta nakaa kimya kutoka na respond zake (sometimes hukaa kimya hanijibu au anaweza kunipa short answer ya kunikatisha tamaa kabisa). So kuepusha maumivu hujikuta nakaa kimya. Pengine niulize je kuna mahali (may be website) mtu huweza kupata tips how to talk to your man, how to respond to him etc.
samahani ntakujibu swali lako kwenye PM please.Bila samahani ndugu yangu... mimi ni mdada.
Kabla ya kukupa mbinu za kuvunja ukimya wako naomba nikuulize:Kwani toka mnachumbiana hadi mnaoana mlikuwaje?Ulikuwa mkimya hivyohivyo?
karibu sana.samahani ntakujibu swali lako kwenye PM please.
karibu sana.
Women are weak naturally.....E bana e, mbona wamama wengi inaonekana mmekaa na mawazo ya ki-utumwa-utumwa dizaini.?
Nilishajaribu yote hayo, tena akiwa amelewa ndo balaa zaidi you can get disappointed to the maximum ya kuchuna ngozi! Ni mtu wa tz kabisa.mh...
Mrs Mtaba, uyo bwana ni mzungu au mwafrika mwenzetu? huenda labda ndo tabia yake ilivo, na tabia haina dawa?
Au mtafutie kakinywaji atachangamka, kisha muulize kisa na maana, au mvizie kwenye mambo yetu yaleeeee...umueleze wasiwasi/hofu yako kwake
Asante
Women are weak naturally.....
Hasemi nini anachopenda nimfanyie, nikimuuliza anazuga nakukaa kimya!Mrs. Mtaba
Unamiss vitu vingi kweli, jiachie mama huyo ni mumeo ndo anayejua weakness na strength zako hivyo usijaribu kuwa na mawazo ya pumba au nafaka.
Anakupenda atakuambia tu kuwa hiki sawa hiki siyo.. Mumeo anapenda vitu gani uwe unamfanyia au kuviongelea pengine hata stori za hapa na pale kuondoka kimya cha mshindo.
Hasemi nini anachopenda nimfanyie, nikimuuliza anazuga nakukaa kimya!
Du!..umenishangaza kweli? mlifikiaje mpaka hapo mkaoana? Au sijakuelewa vizuri, ni boifrendi au mume mpaka umenichanganya?
So mawasiliano yenu ni duni kwenye hiyo ndoa? Na unafahamu mawasiliano mazuri ni kitu muhimu kama siyo kizuri kwenye ndoa/mahusiano!..
Mfanyie suprises tofauti tofauti uone anafurahi vipi kati ya hivyo!..Huyo mumeo anahitaji mtu mchangamfu na mwenye uthubutu wa hali ya juu asione ndoa ni mazoea..
Asante dadangu...ntajaribu pengine unipe hizo suprises nijaribu!
Nashukuru dada (samahani kama wewe ni kaka), ni kweli najikuta nakaa kimya kutoka na respond zake (sometimes hukaa kimya hanijibu au anaweza kunipa short answer ya kunikatisha tamaa kabisa). So kuepusha maumivu hujikuta nakaa kimya. Pengine niulize je kuna mahali (may be website) mtu huweza kupata tips how to talk to your man, how to respond to him etc.
where we dare to write openlyNasita kuendelea hapa..nitakuPM muda si mrefu
Ntashukuru karibu sana dada.Nasita kuendelea hapa..nitakuPM muda si mrefu