i really miss M.M.U forum

Hata kama unanyonyesha tenga muda kidogo wa MMU!
bY THE WAY hONGERA SANA!
Mbona hukutuambia kuwa umejifungua, ona sasa zawadi zime'ekspaya, na hazimfai tena chalii wetu!
Ukizaa wa 5 nijulishe nitamgharamia kila kitu!
 
Halafu wewe....lol..
 
Paka Jimmy umenchekeshaje .. haha haha aa. Haya bana itabidi niangalie kama naweza kumwibia mwanangu muda nije pita kidgo hapa MMU kama leo hivi l.o.l
 
Hello wapendwa kwa kweli nimemiss sn hili jukwaa na wadau wake. Niko likizo ya uzazi na namshukuru sn Mungu kwa kujaliwa baby boy.nawapenda wote
oh dear hongera sana tena sana,furaha iliyoje kupata mtoto,Mungu awabariki.
 
my dear kipipi upo? unaonaje na sisi tukapata wa kwetu looh manake bibie kantamansha nami kupta toto.
hongera sana neggirl au mama yeyoo kwa sasa.big up
Ndio maana umepotea kweli, hongera sana mamito!!
 
Back
Top Bottom