ahahahhahahahhahahhaha i miss thi kiddo! why next tym unisms lol!
nimecheka sana Karucee akili zako zinakutosha mwenyewe wewe!
so funnny mwee!
njoo nikunong'oneze i too miss the thing ujue!chaaaa!
Nilimpata mmoja, then twins! Sasa natamani triplets! Uwiiiiiiiiiiiiiii so exited kama nitapata hao! I know yule mkenya atahama nyumba na kurudi kwao wastegate!
Dah!! Karucee usiseme shoga yangu leo nilikuwa nataka kuweka uzi niulize hivi kweli hamu ya kuzaa kwa mwanamke huwa inaishaga kweli??
huwez kuamini hata leo nataman tu kuwa mjamzito nimemiss maudh ya mimba halafu nataman zaid kunyonyesha kichanga yaani uwiiiiii sijui nimekuwaje .................
usiombe hvyo..mie nilikuaga na mawazo kama yako,kilichotokea kipindi cha ujauzito hubby hana hamu,maembe yakawa mlo wake,kutema mate..hadi siku za mwishoni akavimba miguu yeye..
Nilikua namwonea huruma ila nilifarijika sanaa..