i pad imedondoka haiwaki

i pad imedondoka haiwaki

Joined
Jan 10, 2012
Posts
63
Reaction score
26
Habarini za mchana wakuu,
iPad yangu imedondoka umbali wa meta moja, haijapasuka kioo
lakini haiwaki tena. Naomba mnijulishe ni wapi naweza kupata fundi wa kunitengenezea au
wapi kwa hapa Dar naweza kupata apple dealer atakaye nisaidia.
Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom