Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,061
M.M.
Pia siamini kama kisheria ni kweli lazima Dowans ilipwe kwa hukumu ya ICC.
Kama ilivyo kwa rada, mbona walisema hakuna hoja zenye mshiko na upuuzi mwingi tu kuweza kufungua kesi? Mbona mkoloni wa Tz (Uingereza) aliweza kusimama kidete na sasa tunajua kuwa ile biashara (transaction) ilikuwa na uharamu ndani yake na Mahakama ya mkoloni ikahumu hivyo?
Kwani mahakama ya usuluhishi ya ICC ndio referral organ? Mbona watu ulimwenguni humu hutumia loopholes kibao za nchi nyingine na kwenda kufungua kesi katika nchi tofauti na kupata haki humo? I'm afraid we've been too narrow and conclusive katika hilo, I mean collectively.