I never trusted you guy...!!!

I never trusted you guy...!!!

Pamoja na kuto mwamini Zitto naomba nimtetee kwenye tweet yake ya kuto unga mkono maridhiano aliyo omba Mbowe amesema wazi, waliomba maridhiano kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa kuvurugwa, wakapuuziwa.
Kwa hivyo kuja kufanya sasa maridhiano ni kuja kuwasaliti viongozi waliozuiwa kugombea uchaguzi serikali za mitaa huko ngazi za chini za kijiji.

Kama nimemuelewa vizuri ana maanisha maridhiano ni muhimu lakini wakati huu sio muhimu tayari watu wameumia sana.
Maoni yangu maridhiano wakati wowote ule ni muhumu na yanaweza kufanyika tu, itasaidia kupunguza misuguano inayoumiza taifa kwa wakati huo na ujao.
 
Kwani maridhiano aliyoshauri ZZK ni sawa na haya yaliyofanywa na ✌🏽?!

Maana nakumbuka ilipata kusemwa kuwa waliombaga maridhiano kabla ya uchaguzi wa mitaa wakagomewa Ila baada ya kuona walivyojibiwa kwa kuugomea uchaguzi wenye mamlaka ndo wamekuja kivingine?!
 
Hii kauri ni kabla ya figisu za uchaguzi wa serikari za mitaa na hakuna yoyote alojua km mambo ya uchaguzi yangekuwa vile

kama utatuliza kichwa utamuelewa Zito yupo sawa haiwezekani Uamasishe kususia uchaguzi halafu baadae utake maridhiano huu unakuwa usaliti ukizingatia Tukio bado bichi kabisa hata kidonda hakijapoa
kwenye ukweli useme sio kisa kasema mbowe basi tukubaliane nae kila jambo
inahitaji umuelewe Zitto yuko sawa
 
Shida ya ZITTO ni mnafiki. Yy ana penda kila jambo bora lifanyike upande wake. ACT haina wafuasi Bara. Ila anajiona Mungu mtu. Ana jimwambafai ili ionekane ana nguvu! Kumbe mdomo tu!

Binafsi sijawahi kumuamini huyu Dogo. Ni mchumia tumbo.

Kule kigoma JPM alimpa dk5. Mbowe Mwz kaongea dk1 tu lakini anavyo umia utadhani demu alie tolewa bikira leo.
 
Mwanasiasa yeyote yule Huwa ana angalia Kwanza Faida ambazo atazipata katika nafasi yake aliyonayo Katika siasa........

It doesn't matter yupo katka upande gani

Thats why huwa simuamini mwana siasa yeyote
 
mambo matatu ya kuogopa dunia ya sasa

1. Mungu
2. Wazazi
3. Teknolojia
 
Back
Top Bottom