I need someone to talk

usizimie swithat lotion.....moyo umeshashoneka mpaka sasa......wewe leta fila tu basi inatosha
dah! afazali hiyo red imenipunguza mahasira,BTW si unajua nimehusu sumbawanga switihati?, ukitaka jamaa tumpatie jipu la ufizi niPM, nakuhakikishia kesho ataamka ameota meno kwenye nyeti yake. hapa niko serious.
 
Hi Preta,
Pole sana kwa kujiskia vibaya, I hope uko better baada ya kuona rafiki wa JF wanamobilize kukurudishia furaha yako. Na wewe piga sim, toka, nenda shoping etc. kila la kheri:A S 465::A S 465::A S 465:
 
Mhandisi where did it go wrong it was all ok? kweli few minutes can destroy ure life, mtumaini mungu kwa kila jambo.
 
Ankal haujazamia kwenye sherehe ya Irish man Gareth Bale wakati anapewa tuzo
 
Hi Preta,
Pole sana kwa kujiskia vibaya, I hope uko better baada ya kuona rafiki wa JF wanamobilize kukurudishia furaha yako. Na wewe piga sim, toka, nenda shoping etc. kila la kheri:A S 465::A S 465::A S 465:

nimefarijika sana.......na kama nilivyofikiri kuwa nikilileta JF nitapata afueni....ni hivyo ndivyo ilivyokuwa na hata lunch la usiku limeteremka vizuri kabisa na ninatumaini nitalala usingizi wa pono.....viva JF
 
Mhandisi where did it go wrong it was all ok? kweli few minutes can destroy ure life, mtumaini mungu kwa kila jambo.

wacha tu mhandisi......when you see me I will see you and xplain......u slip gud
 
Mhandisi where did it go wrong it was all ok? kweli few minutes can destroy ure life, mtumaini mungu kwa kila jambo.
Tupo nae hapa yaeda tunasuaza moyo wa Mwandisi, tatizo la mwandisi amekuwa down baada ya kushindwa kutafuta X kwenye mlinganyo. Tumesha mwonyesha X ilipo na sasa moyo mweupe raha tele anatafuta squre ruti ya Y! Yaeda raha bana
 
hehehe sikiliza matangazo ya kifo kesho, kuna mtu atakufa kifo cha ajabu. hili litakuwa onyo kwa kila atakaeingia anga zangu including wewe, uporoto na ze finest.
Hahaha ivi unajua sindano ni more effective ukilinganisha na tablets? Si tushamaliza kuweka fila kwenye heart ya preta we ndo unaamka?
 
pole kwa lolote lililokukosesha raha.
yesu alililipa gharama kubwa ili wewe uwe na furaha wakati wote hivyo kinachokusumbua kimeshashindwa na kisijjirudie kwa jina la yesu.
 
Back
Top Bottom