Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
Wapenzi leo nzima nilikuwa na siku nzuri sana yenye furaha tele, lakini ilipofika mida ya saa kumi jioni siku imeharibika kabisa, nimekosa raha na najisikia vibaya sana, ikizingatiwa mimi ni mtu wa kuwa na raha wakati wote na huwa siruhusu kabisa moyo wangu kuvunjika, lakini leo hali ni mbaya. Asante sana kwa wewe rafiki uliyenipigia simu kutoka mbali, in such a way umenifariji kwa kiasi fulani.
Wapendwa am feeling bad.
Wapendwa am feeling bad.