I need someone to talk

Mamito vipi tena i'm about to take a first flight 2moro morning si unajua A TOWN kuna shares zangu

itabidi uje maana hali ni mbaya.....pitia pharmacy kabisa uje na uzi na sindano wa kushona moyo
 
pouwa mhandisi,sema na Biggie basi akuponye moyo mm ntamalizia,,, afu mwambie nimemmissss
.
pouwa kabisa....itabidi uje na TF umsaidie kuunganisha vipande vya my heart vilivyovunjika
 
Wapenzi leo nzima nilikuwa na siku nzuri sana yenye furaha tele, lakini ilipofika mida ya saa kumi jioni siku imeharibika kabisa, nimekosa raha na najisikia vibaya sana, ikizingatiwa mimi ni mtu wa kuwa na raha wakati wote na huwa siruhusu kabisa moyo wangu kuvunjika, lakini leo hali ni mbaya. Asante sana kwa wewe rafiki uliyenipigia simu kutoka mbali, in such a way umenifariji kwa kiasi fulani.
Wapendwa am feeling bad.
Ooh pole sana Preta, utakiruka tu hicho kiunzi, and you better start feeling well now!.
 
wapenzi leo nzima nilikuwa na siku nzuri sana yenye furaha tele, lakini ilipofika mida ya saa kumi jioni siku imeharibika kabisa, nimekosa raha na najisikia vibaya sana, ikizingatiwa mimi ni mtu wa kuwa na raha wakati wote na huwa siruhusu kabisa moyo wangu kuvunjika, lakini leo hali ni mbaya. Asante sana kwa wewe rafiki uliyenipigia simu kutoka mbali, in such a way umenifariji kwa kiasi fulani.
Wapendwa am feeling bad.
1.pole.
2.naamini mungu atakupa nguvu.
 
Wapenzi leo nzima nilikuwa na siku nzuri sana yenye furaha tele, lakini ilipofika mida ya saa kumi jioni siku imeharibika kabisa, nimekosa raha na najisikia vibaya sana, ikizingatiwa mimi ni mtu wa kuwa na raha wakati wote na huwa siruhusu kabisa moyo wangu kuvunjika, lakini leo hali ni mbaya. Asante sana kwa wewe rafiki uliyenipigia simu kutoka mbali, in such a way umenifariji kwa kiasi fulani.
Wapendwa am feeling bad.

Nani tena huyo kakuvunja moyo wako ndugu? Pole sana lakini utarudi kwenye mood yako ya kawaida jipe moyo ingawa tayari umevunjika!
 
Preta; whatever it is you are going through I believe you are strong enough to pass through it,
you just need to be sure of yourself and some extra courage which you shall find in prayers,
We got love for you......I got love for you!
and if at some extent you might feel that you need some extra strength....you can always lean on
either one of our shoulders....or even two/three/four....if you like!
Stay well. You are stronger than that - whatever it is dont let it overpower you. xoxoxoxo
 
nikupe namba yangu?
 
WL, me naponya moyo ww unatafutj wa kuuvunja mara ya xyz.

Halafu wewee! Misr ya, preta anajua, umepotea mbaya chali yangu! Nafanya logistic , will tell ya.

asee chalii yangu nakuskilizia,,,hapo kny logistic najua hutaniangusha arif! Digidigi asijue
 
Nani tena huyo kakuvunja moyo wako ndugu? Pole sana lakini utarudi kwenye mood yako ya kawaida jipe moyo ingawa tayari umevunjika!

Asante Job.....naamini nitashinda
 
Back
Top Bottom