I need a great woman

I need a great woman

thread ya kufungia............haya mlale salama
 
mi nishasema sana mwanamke Awe natural na ajitambue basi ila likiniletea tabia za kinyesi ataondoka hata sa nane usiku

Aise wewe kama mimi.
 
Si umeshampata tumboo au me nilisomaa vibaya

na mpenzi wangu since primary hawa si wapenzi ila viraka nikivaa nguo za kuwinda msitu,MMU siwezi date humu maana ninaye mbavu yangu on this earth
 
Last edited by a moderator:
Aise wewe kama mimi.

i want a girl atleast anaelewa thamani yake na mwili wake na yeye ni nani sio kucha hana kazi umbea ujinga ujinga tu na saloon kwangu no maana thanks GOD my heart huo upuuzi hana
 
Mwanamke hana challenge yeyote. Ukiamua ndio mpenzi. Serious simtaki huyo.
 
Tangia nianze kusoma thread zako nahisi Luna jambo lina kusumbua.
Samahani lakini.
 
Nikama kusubiria meli kigoma. Unatakiwa kujua mitandao ya kijamii ni nini. Ukimjaji mtu kwa kutumia thread zake utapotea.
 
Kila mtu huwa na vision zake.

Mimi natamani sana kuwa na mwanamke atakae nielewa.

Wanawake wengi ndivyo sivyo. I need a woman who upstairs yuko poa.

amka kwanza unawe maji halafu ulale tena ndoto yako itimie!!!!
 
Unakuta janamke ndio kila kitu hakuna hata changamoto. La nini sasa hilo?
Tumia lugha nzuri wewe, janamke ndio nini? huna mama wewe au dada zako au shangazi zako? au na wewe ni janaume? hata bibi zako pia ni janamke au binti az ndugu zako kaka zako,wajomba zako jirani zako, heshima kwa mwanamke bila huyo janamke ungekuwa jf unatoa lugha zako chafu?
 
Aise hebu elewa basi ni nini nilichoandika.
 
Tumia lugha nzuri wewe, janamke ndio nini? huna mama wewe au dada zako au shangazi zako? au na wewe ni janaume? hata bibi zako pia ni janamke au binti az ndugu zako kaka zako,wajomba zako jirani zako, heshima kwa mwanamke bila huyo janamke ungekuwa jf unatoa lugha zako chafu?

janamke ni mwanamke ambalo halijielewi
 
Back
Top Bottom