Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
REALITY hongera kwa kuwa na mpenzi mwema. Inawezekana wewe wa kufanana naye humu JF hayupo, but kuna watu (wanaume) wa kufanana nao wapo humu humu. Kuna wanawake wengi tu wanaojielewa humu jf, wapo vizuri tu upstairs... Halafu one man's meat is another man's poison. So kama kuna wanawake unaona hawabehave vizuri humu mmu, usiwatumie kama fimbo kuwachapa wengine na kuconclude kwamba hujaona mwanamke anayejielewa humu.... Anyway naheshimu mawazo yakona mpenzi wangu since primary hawa si wapenzi ila viraka nikivaa nguo za kuwinda msitu,MMU siwezi date humu maana ninaye mbavu yangu on this earth
Last edited by a moderator: