i need a friend

misorgenes

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
206
50
natafuta rafiki jaman, wa kike, vigezo: umri kati ya 22-28, mwanafunzi au mfanyakazi, na anayependa utani! aliye interested ani PM!
 
labda wa kusaga unga au?????????

sa izo mambo zimetoka wap? au we rafiki ulionao wa jinsia moja mnafanyaga izo mambo eeeeh? afu watu bwana nnajifanya izo mada mnazikandiaaaa wakat hapa unaianzisha mwenyew! " we kama huna vigezo tazama tu, sio lazima ureply!
 
teh teh nimesoma vyema naona km i dume inatafuta ....
poa count on me
m yr frend...labda km unitak unimwage mwenyewe bt for me by lookng ya avatar ..NIMEKUKUBALI...
UMENIKUBALIA?UTACHEZA NA MIM?
 
Doori dori
dori samwela
SHILIngi ya baba Nyerere katikati ina mwenge. .

Sema mwananaume mwenzangu. ..
 
Ni Urafiki tu kweli? mbona kuna vi-element zaidi ya Urafiki hapo? weka wazi jamaa yangu!!
 
natafuta rafiki jaman, wa kike, vigezo: umri kati ya 22-28, mwanafunzi au mfanyakazi, na anayependa utani! aliye interested ani PM!

niku pm??
64787130_rose.jpg
 
Sipati picha Maria Roza mtakapo kutana afua jamaa aanze kula kucha, na kuchimba mchanga kwa kisigino maana kwa hii style yake i get worry!!!
 
sa izo mambo zimetoka wap? au we rafiki ulionao wa jinsia moja mnafanyaga izo mambo eeeeh? afu watu bwana nnajifanya izo mada mnazikandiaaaa wakat hapa unaianzisha mwenyew! " we kama huna vigezo tazama tu, sio lazima ureply!

Kaka/dada mbona umekuwa mkali hivi? subiri uzoee jamvi kidogo. Utakufa kwa presha bure.
 
teh teh nimesoma vyema naona km i dume inatafuta ....
poa count on me
m yr frend...labda km unitak unimwage mwenyewe bt for me by lookng ya avatar ..NIMEKUKUBALI...
UMENIKUBALIA?UTACHEZA NA MIM?

thanx!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom