misorgenes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 206
- 50
- Thread starter
- #21
niku pm??
eeeeh! ua lako juriiii!
niku pm??
natafuta rafiki jaman, wa kike, vigezo: umri kati ya 22-28, mwanafunzi au mfanyakazi, na anayependa utani! aliye interested ani PM!
Una taka umfanyaje huyo binti?
....wewe hommie unatafutwa kule kwenye siredi ya ''maendeleo ya CDM NJ'' msaada wa fasta unahitajika pale.....!
Una taka umfanyaje huyo binti?
Unataka marafiki au rafiki?i want to know nu pipo! awe rafiki "sm1 i can lay on her shoulder" nkiwa na uzuni, "sharing joy" nkiwa na furaha, utani " coz napenda" habari za hapa na pale! jaman mbona mnaniswalika ivo? napata marafiki sipati!!!!
si bure kuna mtu anatafutwa humu, JF nzuri sana maana hatujuani,
na muda si mrefu tutasikia mtu anaomba ushauri wa kurudiana na mkewe kisa cha ugomvi eti alimtokea JF akaomba kazi bila kujua ni mkewe,
Unataka marafiki au rafiki?
kama unataka rafiki usiulize maswali makavu kama afande marwa! sawa!
na mm nakutaka tuchezeane hadi asubuh 24hrs kama ATM
Sina pingamizi mwaya........lakini chukua reference kutoka kwa Fidel na Next Level kwanza, hebu waPM wakikubali mi nitakuwa bega lako la kulilia.sawa dada! lol! sa unakuwa rafiki angu tupinge?
eeeeh! ua lako juriiii!
Sina pingamizi mwaya........lakini chukua reference kutoka kwa Fidel na Next Level kwanza, hebu waPM wakikubali mi nitakuwa bega lako la kulilia.