Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Jamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......
nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....
hahaha,like itoke wapi kwenye simu,namtania tu heaven am not serious.Imani yangu inasema "Binadamu wote wameumbwa kwa sura na mfano wa mungu" Kumbe basi miili yetu siyo imwonyeshayo mungu bali ni ROHO zetu.... Uzuri wa sura na maumbo ya mwili ni mali ya Udongo ila Roho zote ni Mali ya mungu....Umeshasoma ndugu, kama umenielewa nipe Like ndipo nitambua kueleweka kwangu.
duh uko vizuri...kwa urembo ulionao nikikutambulisha home tu kesho yake lazima niwazike wazazi kwa mshtuko watao pata.Jamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......
nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....
Hapo ulikuwa unajiandaa kwenda katika sherehe gani?
duh uko vizuri...kwa urembo ulionao nikikutambulisha home tu kesho yake lazima niwazike wazazi kwa mshtuko watao pata.
I can feel the chemistry between us aisee, yaan we kinda look alike n remember birds of the same feather fly together!
Daddy mchukue na huyo basi
Nimchukue kumpeleka wapi?