Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Habari,

Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.

Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years). Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa mama Yuko wapi na kwanini hakai nyumban.... Aisey asikwambie mtu nnawakat mgumu mnoo ukizingatia hatujazoea kudanganya watoto.

Nikiingia chumbani ndo kabisaa upweke ninaopata hadi nakonda na hamu ya kula inaisha. Kila nikifikiria kuanzisha mahusiano mapya sioni na Wala sielewi kama ntapata mwanamke niliyemzoea Kama mke Wang.... Si Kama mzuri kuliko wengne ila nifundi kweli kweli💘. Nahisi. Imekua ngumu kwasababu mimi sio wa michepuko ndio maana nateseka.

Nafiria kuhama nyumbani kwangu, watoto nipeleke kwa bibi yao mi nitafute chumba niishi kama bachelor Mana sitokua mazingira ya nyumban kwangu nilipozoea kua na mke wangu na watoto labda itanisaidia. Kwakweli sikutegemea ndoa inawezakuvunjika kirahisi hivi maana nilidhani Nina ndoa very strong (tulidhani tumewezakuchukuliana vyakutosha)

Separation sijambo rahisi wazee kama unadhani unaweza kuokoa ndoa yako anyhow jitahidi uokoe before too late. I missed her but Moyo wangu hauna Imani nae Tena nahisi nnahisi nnaweza fungwa kwa ajili yake.

Usiombe

1626418307345.png
 
Habari,

Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana? Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!
 
Habari,

Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.

Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years).
Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..

Inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...
 
Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?

Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!
TATIZO nna Moyo mdogo saana linapokuja swala la kusalitiwa. . Nikipenda napenda saana kupitiliza Sasa ndo Mana ukinivuruga kunirudisha Kama mwanzo inakua ngumu. Kusamehe nimesamehe ila Kila nikimuona naingia hasira Kali natamani hata kuua, naona itanidhuru baadae. Nateseka kinyama yaani.
 
TATIZO nna Moyo mdogo saana linapokuja swala la kusalitiwa. . Nikipenda napenda saana kupitiliza Sasa ndo Mana ukinivuruga kunirudisha Kama mwanzo inakua ngumu.
Kusamehe nimesamehe ila Kila nikimuona naingia hasira Kali natamani hata kuua, naona itanidhuru baadae.
Nateseka kinyama yaani
Wewe hujawahi kumsaliti?

Maana kama hujawahi kumsaliti toka muanze uhusiano wenu, basi usimrudie

Lakini kama unafanyaga basi endelea nae mkuu, hakuna mkamilifu labda upige chini mahusiano but % kubwa usaliti umetamalaki
 
Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..

inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...
Yeye anataka tusiachane TATIZO Mimi nimeshindwa kurudisha Moyo hasa ukiZingatia nnahasira yakumdhuru Kila nikimkumbuka na kumuona .... Nnaona atanigharimu nikirudiana nae.

Swala la kula ujana si kivili issue ni vile nilijitoa Kikamilifu kwakua ni Mama watoto wangu
 
Habari,

Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Kila siku tunasema unapoachana na mtu " Hesabu gharama kwanza" kabla ya kufikia conclusion. Na katika kuhesabu gharama usimuhusishe mtu yeyote Bali wewe mwenyewe kwa sababu gharama za kuachana unalipia wewe, unayemuacha na watoto wako.

LAKINI pia Kaa ukijua kwamba hata mke au mume akukosee Nini, tambua kuwa Kuna uzuri wake na Kuna faida za kuwa naye ambazo hutazipata mtakapoachana. So mkitaka kuachana hakikisha kosa lake limesababisha 'usimpende tena'; namaanisha uzito wa kosa uwe umezidi kiwango Cha upendo, then uko tayari kulipia gharama zote za kuachana. Then unaweza kumuacha mtu, vinginevyo utateseka sana.

Gharama za kuachana ni kama, watoto kulelewa na upande mmoja, kuona mkeo akiolewa au mume akioa mtu mingine, matatizo ya kiuchumi, upweke, ugumu wa kulea watoto ukiwa peke yako n.k
 
Back
Top Bottom