I miss you. . .

babu dc
unapenda kung'olewa ndevu kama babu ODM?

Wajukuu wanataka wakung'olee

Hawa wajukuu bwana,

Saa nyingine wanakuwa pasua kichwa kabisa,

Sie baada ya kueletewa haya mambo yenu ya dot com...tukisikia hilo neno lenu...I miss you....

Mara moja tunajua njaa inauma!!

Anyway...poleni sana na mlale salama!! Nami leo ..nalog off!!

Babu DC!!
 
Umekanusha na kujijibu mwenyewe.....kumlilia umpendaye ni kumlilia tu kwasababu yeyote ile,hukuzaliwa nae ila unampenda!

Dearest,sijaongelea ku-miss kisicho chako,binafsi siwezi lilia kisicho changu pia,huo utakuwa uwazimu,kwenye mapenzi hakuna kitu kama umekuwa sana au ulishapitia sana,as long as you are in love, you will have to experience different situations which will make you react in certain unpredictable ways.....hakuna umwamba au uroho ngumu kwenye hisia za mapenzi!
Ohhh dearest. . .
Sasa kama ni wangu and he is all well and happy why would I have to cry for him jamani? Kwasababu tu kaenda mbali kwa muda? Kama ni hivyo ntamkosa, na nnaweza nikasikitika ila sitolia kwasababu najua muda ukifika tutakuwa pamoja.
 
Sawa Lizzy,

ngoja nikapumzike hata kama muda wa kulala bado....Ila siku nyingine sema tukuelewe...Vinginevyo babu anahagaika kuwatafuta mnaowalilia!!
Babu bwana. . .
Yani ina maana mpaka sasa hivi hujajua kwamba huyu mjukuu halilii watu ambao wapo?

Haya next time ntakunong'oneza.
 
ujue mie naishi kihesa
sasa kukatiza milima ya wilolesi bila msuba
inakuwa ngumu sana

hapa iringa kuna duka maarufu
panaitwa kwa pera
nikivuta nikiwa hapo
najiona kama niko kariakoo kabisa
raha kweli

hehehehe kweli we kongosho mwingine fotokopi!
Acha mie nichukue moment of silence kuwakumbuka niwapendao waliotutangulia..
 
Ohhh dearest. . .
Sasa kama ni wangu and he is all well and happy why would I have to cry for him jamani? Kwasababu tu kaenda mbali kwa muda? Kama ni hivyo ntamkosa, na nnaweza nikasikitika ila sitolia kwasababu najua muda ukifika tutakuwa pamoja.

Dearest, i don't wanna talk too much here, time will provide an answer to that, Lizzy won't cry when missing sm1....ROR
 
Dearest, i don't wanna talk too much here, time will provide an answer to that, Lizzy won't cry when missing sm1....ROR

Rorzz. .
Got you dearest. Kwangu aisee. . only if they are really really gone.
 
mwaya its good to love unconditionally... Only that when u love too much u'r bound to get dissapointed...mi hapo tu ndipo panapo nirudishaga nyuma..

Amyner,love much or less,you are likely to be dissapointed....give it your best,if its not working,learn,lift your head high and tell yourself that the best is yet to come....life has to go on! Usirudi nyuma, wala kutoa upendo kidogo kwa kuogopa kuwa dissapointed,ukiachwa utakuwa dissapointed kwamba hukujitahidi kupenda vizuri!:juggle:
 
i'll try not to hold back dear...ila with caution!
 
.....i miss the old me, i miss us, i miss streetdreaming, niggers get lonely too.

YC you can always get reconnected to the old you. .

you can always go back to those who made "us" a word that you enjoyed saying/thinking of. .

You can always close your eyes and dream . .

And there is always someone that wouldn't mind being your antidote to lonely. . .it's just a matter of letting them.
 
Hehehe. . pole. Umepata mtu wa kuupuliza?

...mnh, "i have the right to remain silent, as anything I dare to talk openly in jamiiforums, may be used against me by the great thinkers..!"
 
...mnh, "i have the right to remain silent as anything I dare to talk openly in jamiiforums may be used against me by the great thinkers..!"

Mbu bana JF is where we dare to talk openly. . being silent is not a right, it's an offense. Punishable by not less than a week ban.

FUNGUKA.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hivi Ban yake hajaisha tu .??
maana hata ile thread ya Superbowl jana hajanoga kabisa yaani..
wengi waliomba afunguliwe ajili ya ile thread .....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom