I miss you Paka Jimmy! Where are you?

Wana Jf nimemis sana PJ sijamuona humu kwenye uwanja wetu mida sasa yeyote anayejua taarifa zake aniwakilishie...najaribu kumtafuta kwa simu hapatikani..ni jambo jema wana fj kujualiana hali...miss you so much PJ...asanten nawakilisha...

Hii thread ni yatoka may 2010 hadi leo paka jimmy hajaonekana humu.Wasije wakawa wame mlimboka kamanda!
 
Last edited by a moderator:
Kuna haja ya kujua huyu gwiji aliko, maana hata majukwaa mengine haonekani.
 
Pearl hayupo
Cheusimangara kapotea ...
Klorokwin kapotea
Chrispin sijui yupo
hata haieleweki vile

.....

and you too........kwa nini lakini..........
cc: bht.... NGULI.... Teamo... Bigirita..... MwanajamiiOne.......@LD....@GY.... Kimey.......@JS.....@klorokwin..... Masanilo...... fidel.. WiseLady... KakaKiiza..... Asprin... Kaizer..... PakaJimmy..... Mwita Maranya..... Derimto....... Ncha......

wote nyie mnafahamu kabisa tulipotoka........hebu semeni chochote na moyo wangu utulie.........
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom