I miss you CharmingLady

I miss you CharmingLady

mdogo wangu C6 umeumia.....

Mzee wa kulambalamba Erickb52 yupo mwanza.....
Ile kutua mwanza tu charminglady simu yake ikawa busy haipatikani?

Walaaaaahiiiiiiii umeumia wewe
 
Last edited by a moderator:
mpenzi wangu mama kijacho charminglady naona huku maisha yamekua magumu coz nakumiss mbaya.. nimesikia kuwa Erickb52 kusikia nmesafiri kajileta, nitunzie penzi langu..maana sio kila kitu ni cha kushea..

niko huku nahangaika ili kijacho afurahie maisha...nakupenda sana lazizi, nakukosa sana tu

wooh,my huz. . . miss u too, hapa kijacho ndo anisumbua mie cos anapga mateke ajabu. ucjali my huz nakutunzia penzi lako mpk urudi!!
 
Last edited by a moderator:
mdogo wangu C6 umeumia.....

Mzee wa kulambalamba Erickb52 yupo mwanza.....
Ile kutua mwanza tu charminglady simu yake ikawa busy haipatikani?

Walaaaaahiiiiiiii umeumia wewe

huko Erickb52 anakolalia mi ndo nimeamkia, so hanitishi hanibabaishi.....muache ajifanye anajua sana uwizi, za mwizi ni 40, mtaona tu Boflo au Mbuzi Mzee atatoa vitu vyake kule jukwaa lingine
 
Last edited by a moderator:
shost FYI mwenzio nipo hosp bed rest wala shemeji yako hana wasiwasi na mie lolest!!!!!
charminglady si uwaambie ukweli kuwa uko bed rest huku hotelini kwangu?
Na hii yote ni baada ya kukupa shughuli a nguvu hadi unahitaji mapumziko BADILI TABIA anajua coz nishamfanyia kama wewe
 
Last edited by a moderator:
charminglady si uwaambie ukweli kuwa uko bed rest huku hotelini kwangu?
Na hii yote ni baada ya kukupa shughuli a nguvu hadi unahitaji mapumziko BADILI TABIA anajua coz nishamfanyia kama wewe

thidanganyiki ng'o, cha kumuumiza kijacho wangu while zimebaki 2wks aje kuliona jua ni nini? weee najipenda mie.......
 
Last edited by a moderator:
Heheheheeee C6 nilimfuma kwa Madame B anamzengeazengea

haijalishi, namuamini sana my huz. na hata kama itakuwa kweli kuwa silipi baya kwa baya. . . . acha amzengee ila hapa ndo kafika hasikii la mnadi swala wala la muhazini. shaurilo!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
C6 kweli umefika shemeji yangu! Raha ya mke kumjali, kumpenda na kumthamini. Nawatakia kila lililo la kheri!
 
Last edited by a moderator:
asante my sis wa kumoyo, miss u sana. vipi hawajambo wanangu?

asali wa moyo wangu nimekumiss mno,izi wiki mbili naona kama miaka miwili. Njoo eapoti siku nnayofika nikukure hapo. You are my everything
 
asali wa moyo wangu nimekumiss mno,izi wiki mbili naona kama miaka miwili. Njoo eapoti siku nnayofika nikukure hapo. You are my everything

Usijali, siku hazigandi. Mekumissijeeeeeee????????
 
astakafillulah
mnakurana eapoti?
asali wa moyo wangu nimekumiss mno,izi wiki mbili naona kama miaka miwili. Njoo eapoti siku nnayofika nikukure hapo. You are my everything
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom