mpenzi wangu mama kijacho charminglady naona huku maisha yamekua magumu coz nakumiss mbaya.. nimesikia kuwa Erickb52 kusikia nmesafiri kajileta, nitunzie penzi langu..maana sio kila kitu ni cha kushea..
niko huku nahangaika ili kijacho afurahie maisha...nakupenda sana lazizi, nakukosa sana tu
taratibu sasa!!! Khaaa? Mwishowe utamwamsha @c6
Twiiiinnnn charminglady plz kam hia...