I miss you asprin

I miss you asprin

Basi mi ntamwambia kwa vitendo..... Ni kumkata tu chululu yake tuone km na wewe utaendelea Kua nae..!

Hahaa yesuu yaan umkate chululu aaah hii ntamwambia wallah maana imekua too much
 
Si unajua sigara nyota haijulikan.pa kuvuta yaan.unaweza ukavuta nyuma au mbele sasa wewe hueleweki kwa Asprin upo kwa Ntuzu umo tukushike wapi

Weee ulishawahi kuniona mimi kwa huyo babu yako?? Hapana aisee sipo kabisa huko
 
Last edited by a moderator:
ODM kwanza matembezi yake ni Bunju kule aokote wahudumu wa bar za Bunju Hizo ndio zake.... Muulize atakuambia..!

Inabidi utoe kitabu kuhusu maisha ya my love Asprin unaelekea unamjua sanaaaa akaokote wahudumu wa bar had wa gest me i don care mrad ananitimizia ntakacho sina.shida yeye akahangaike hukoooo jion atarud tutalala kwan.hujui akiwa ndani n.wako akitoka nje s wako
 
Last edited by a moderator:
We Si ulisema Mke wangu kipenzi Khantwe ni mchepuko wa kudumu wa ODM? Uache kumsingizia Mke wangu, kwanza Mke wangu kaokoka...!

Ahhha kaokoka???? Hiyo imekaa poa sana
 
Last edited by a moderator:
Inabidi utoe kitabu kuhusu maisha ya my love Asprin unaelekea unamjua sanaaaa akaokote wahudumu wa bar had wa gest me i don care mrad ananitimizia ntakacho sina.shida yeye akahangaike hukoooo jion atarud tutalala kwan.hujui akiwa ndani n.wako akitoka nje s wako

Mbona unakua mdogo....! Huyo ndio ODM Mzee wa Bunju....!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom