I miss you asprin

I miss you asprin

Sasa mnavyochonga hamuoni? Mwaona raha ndoa yetu ikikosa Amani kwenu inakua gumzo na story za kitaa?

Mutuwache jamani tena unwambie Asprin amkome kabisa Mke wangu Khantwe.

Heenh wewe unashindwa nin.kumwambia kwa mdomo wako????? Nan anapenda kuwaongelea nyie labda wengine sio mie
 
Last edited by a moderator:
Sasa mnavyochonga hamuoni? Mwaona raha ndoa yetu ikikosa Amani kwenu inakua gumzo na story za kitaa?

Mutuwache jamani tena umwambie Asprin amkome kabisa Mke wangu Khantwe.

Bas swty...dada zako wanatupenda sana ujue ndio maana hawataki watuone tunagombana
 
Last edited by a moderator:
Heenh wewe unashindwa nin.kumwambia kwa mdomo wako????? Nan anapenda kuwaongelea nyie labda wenhine sio mie



Basi mi ntamwambia kwa vitendo..... Ni kumkata tu chululu yake tuone km na wewe utaendelea Kua nae..!
 
Back
Top Bottom