Hahahah sio hicho mpwa...hiki ni chama cha Chitchatters tu lakini ni kwa wale wakutanao live na kula bataaaa
Karibuuuu...panapo mualiko wowote wa wanaJF au CC usikose kuhudhuria maana nasi huwa tunakuwepo "at large"
Hahahah sio hicho mpwa...hiki ni chama cha Chitchatters tu lakini ni kwa wale wakutanao live na kula bataaaa
nitajitahidi kuwapo maana mara nyingi nakuwa nje ya Dar kwa shughuli za wakulima...
G'evening daddy
Hata huku piq kuna member wa Chama Chetu!!!
wallah mie hilo jagi sijui jikombe linanitamanishaje
Hahaha...basi tualikane kuendeleza chama.
Good evening!!
Karibu JF Rock City Wing daddy....