Judgement ni kweli kua ulikua unatania, mimi nalijua hilo na hata Kaizer pia... Ila tu utani wako ulivuka mpaka, na nashukuru kua umeweza litambua hilo na kukiri pia kosa Lako. Thanks. Hapa ilitakiwa akujibu Kaizer mwenyewe ila bahati nzuri ama mbaya (vile utavoona) kaniarifu nijibu on behalf ya wote for yupo kind of occupied. Hivo naomba uamini kua he is good, amekuelewa na huo Msamaha umetolewa toka pande zote mbili. Nishukuru kwa kutambua kwako kua it was way over ... Na pia kwa maneno yako mazuri yenye hekima nyingi ndani yake. Hivo Judgement naomba kua na Amani.
Pamoja Saana.
AshaDii.