I Miss Sex!!

I Miss Sex!!

ushasikia kuoa ni kufukuza kipipi?

kuoa sio kufukuza japo kufukuza ama mlengwa kujiondokea mwenyewe kwaweza fuatia!! Wewe umepata hamu ya sex ndo maana unataka 'girl uoe' na sio kwamba unahitaji 'mke' thats why nikakuuliza hilo swali! Ushasikia watu wanaooa for the wrong reasons?? Matokeo yake huwa ni nini?? Gusa unate kijana...
 
Duh! Mke ana faida Nyingi Mbona Kipipi hamu ya Kusex humtokea Mtu yeyote So Nikisema nimemiss Namaanisha Nahitaji na kwa Msisitizo Nahitaji wa Moja kwa Moja sina presha kwa Sana itachukua Muda gani lakini for me Nishafikisha Time za Kuoa so Sitaki Girl wa Kuzuga nae...

Najua hayo Mambo ya kuwa Ukigusa unanata Najfahamu hilo, Vipi Wewe kwani unanatisha?
 
Akhaa.....mie sinatishi!! Nimekwambia gusa unate kwa maana ya kwamba usitumie wrong reasons kujaribu/usijaribu ndoa for u'll suffer the concequences!! Fanya maamuzi stahiki ya kuwa na mke, kasex kasikuponze ukanusa harufu ya ndoa!! Si kila unachotaka chafaa kuwa hitaji kwako, but the vice versa can be true!!
 
Muonee wewe.

Tatizo la avatar ni kwamba you cant tell precisely the gender of avatar holder, unaweza ukadhani Lizzy ni mrembo mzuri kumbe ni dume la mbegu. you never know anaweza akawa Liziwani
 
ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom