sasa we unafkir na zombie pembeni utabaki kuwa the old konnie tena!
mi mwenywe nimemimiss Kongosho basi tu sina jinsi
i can not eat my cake and still count its candles.
huwa yanatokea hayo, kuna kipindi unatamani uwe yule wa miaka ya 47 lakini ndo hivyo ilishatoka...ooh yeah! Ha ha ha, zombie mzima aisee
anajilia matunda ya jasho lake tu.
Kweli leo nimeji-miss kwa muda, nikasikitika.
huwa yanatokea hayo, kuna kipindi unatamani uwe yule wa miaka ya 47 lakini ndo hivyo ilishatoka...
ila kuna ambao kila wakikumbuka past hawataki kabisaaaa kujirudisha, lol!
ooh yeah! Ha ha ha, zombie mzima aisee
anajilia matunda ya jasho lake tu.
Kweli leo nimeji-miss kwa muda, nikasikitika.
ha ha ha, hawataki past zao tena?
Mie huwa siogopi kivuli changu hata kama kinatisha
hatudaiani konnie ,hata kidogo!na walahi kwa hili nafunga huu mlaptop wangu nilale mie!
nyie mtu pipo mlioalala sa hz!
mtakapoamka naomba nisiulizwe swali wala nisiombwe maelezo hiyo bold yenye red hapo ni kwa matumizi yangu binausi!
cc BADILI TABIA Dark City (konnie babu leo nilimbananisha maeneo unikumbushe asubuhi nikuhadithie) watu8 mwaJ jouneGwalu (af na wewe we jificheeeeee siku unaibuka watu tushapiga kipunga ) Nicas Mtei Ruttashobolwa hebu mwambie mama koooku aandae nshisha ,kina zombie wanapata mgore muda simrefu hapa!
wewe....ha ha ha, hawataki past zao tena?

nimeamini umea kipaji, si nilishakusuta wewe? Hukomi?
pole mamii
mie nilimiss kwa kweli leo.
Leo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .
Katika pilika pilika za leo, nikakutana na mtu tulipotezana more than 17 tulipomaliza High School.
Na tulikuwa tunakaa meza moja miaka hiyo, na tulikuwa marafiki, tatizo enzi hizo S.L.P ilihusu sana, tukapotezana.
Baada ya kupiga story 2 tatu nikagundua 'how much i have changed' toka tulipoachana. Miaka hiyo nilikuwa 'pure innocent girl from a village'. Nikaona anajaribu kuwaunganisha mie wa miaka hiyo na wa sasa ambaye ni 'crazy' kwa namna fulani. Ambaye ukimuonesha zambarau lazima ahoji, why?
Nikimtazama yeye angalau ame-maintain 'innocence' yake, for a minute i missed my old self.
Kukawa na vitu nataka 'ku-explain' sababu nilihisi anastahili maelezo, akanijibu tu 'i understand, it's part of life'.
Dah, nimegundua kumbe mtu unaweza kubadilika kidogo kidogo bila kujua, leo ndio nimejitafakari nimebadilika kiasi gani.
Anyway, it's life.
ooh yeah! Ha ha ha, zombie mzima aisee
anajilia matunda ya jasho lake tu.
Kweli leo nimeji-miss kwa muda, nikasikitika.