I miss my ex man so much jamani

Duh. Hapa kutakua hakuna mbotuswana wala mini na km yupo hayupo humu jf unless tusubirie MTU akiomba ishauri keshamwagwa mahari haikatolewa.
 
Nakumbuka,ila acha nifikirie kwanza,nitakutafuta.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnajidai nyie ndo ma x wenyewe [emoji52][emoji52]huyo x mwenyewe alivyo mstaarab hata ikitokea ameona hii thread atapita kimya tu wala hana muda wa kucomment ila irimradi sms delivered

Sent from Samsung A8 using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe yupo humu?? Inabidi msameheane tu. Ili uwe unafika mlima kilimanjaro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Kuna ka pepo flani ka kutojielewa kana kunyemelea.

Umejoin leo leo.

Tayari una mume umempata JF.

Na tayari una una EX unaemmisi.

Ptuuuh.
Ametegeneza fake id mpya ili asijulikane so shituka
 
Daaah JF am getting old nini kuna tabia zinakera
 
Sitashangaa kwa nini ndoa zinavunjika... Umpate mume humu halafu X yumo humu humu unamsifia mbele ya mume mtarajiwa kweeeli.... Tuweni na chembe za huruma bhasi kama hata heshima haipo
Labda hajui kiswahili makubwa hayaa
 
Hata kama ulosema ni kweli, unalialia nini na huyo wakati hujatombana na Mbotswana bado? Na siku mkianza akakutomba vizuri kuzidi huyo wa uongo unaemuongelea kwenye hadithi yako utakuja hapa kutangaza? We sanasana una hamu kutombana na unajinadi humu.

Eti tangu akuache hujatombwa vizuri tena na 'wengine'. Hapo ndo ulipojimaliza na stori yako ya UONGO. Hebu kamata limtu huko katombane utuondolee nyege za terabyte.
 



hhhhahaha kitu cha terabyte! yaan sasa hv wanakuja na techniques za aina yake
 
Waanzisha thread kama hizi mengine yanakuwa madume tu yanafurahisha members jf
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…