Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Ehe patamu hapo... yangu macho tu,cant wait to c king's reply
hahahha yako umesahau eeeh ukatongoza part one na two kumbe ni one person lol
Ehe patamu hapo... yangu macho tu,cant wait to c king's reply
ila mlipendezana kipindi kile ujue! dah..hahahah hata utafiti yuko very charmful afu huwezi kuwa yeye hata hivyo nitajskia vizuri sana i cant lie
ila mlipendezana kipindi kile ujue! dah..
halafu unasemaga hivi hivi... hivi kaenda wapi lakini jamaa?mmmnh no comment
halafu unasemaga hivi hivi... hivi kaenda wapi lakini jamaa?
hivi hawa mtu na mkewe mbona wambea hivi? kwani yanawahusu ati!? tufanye yetu sie hawatupunguzii wala hawatuongezei! wakatutangazeee na risiti wapewe! na wasipotutangaza tutawatangaza wao
hahahah hata utafiti yuko very charmful afu huwezi kuwa yeye hata hivyo nitajskia vizuri sana i cant lie
atarudi may be majukumu yamembana i know nothing about him
Nyie ndoa yenu ishawashnda yaani mnafarakana hadharan,mmelazimishwa c muachane tu kila mtu afanye yake.
miss neddy naomba nikaribishehayakuhusu
Kaka Ntuzu asante kwa salam, nijulishe hali yako kwanza