Umemuona miss neddy tu ndo wakukukaribisha??
Eshy m.s miss u sanaaaaa nna njaa sana naweza kupata chapati na chai?
Mkuu mi niko pouwa kabisa hofu kwako tu kaka! Umepotea sn Mkuu!
Nashkuru kwa hilo, vp #teamrafiki ?
mwenyekiti kajiuzulu yuko teamB
Duh nani????
Kaka nikweli kidogo majukumu yalinifanya niwe nje kdg ila nafurahi kuwakuta marafiki zangu japo wengine bado sijawaona
Usipotee sn Mkuu! Unajua Binafsi Nilikua nashindwa Sijui nikupataje! Lkn pouwa Mkuu sisi tupo!
Honey Faith nimerudi baada ya kupotea....mzima ww?
Sam.... kama hilo ni la kweli basi tuna tatizo si dogo....
Mie mzima kabisa.Ulipotelea wapi?Najua lakini umekumbuka kuja na dhawadi dhangu eeeeh!!!
kila kitu kiko okay kukosekana kwako ndo kulipunguza furaha yetu kiasi
Kukosekana kwangu je?,hakukupunguzia furaha?
Mh hapa kuna mtu anachokozwa si bure,
Nimechoka kukamatwa na mfupa wakati sijala nyama.