Kaka Ntuzu asante kwa salam, nijulishe hali yako kwanza
Tena risiti za tra kutoka kwenye efd machine,ukiona umbea hvyo ujue ya kwao yanawashnda.
hayakuhusu
Hakuna ndoa hapo
Honey Faith nimerudi baada ya kupotea....mzima ww?Ayaaaaaa jamani kumbe upo?I miss you so much halafu leo hebu niletee ule mzigo wangu
Eshy m.s miss u sanaaaaa nna njaa sana naweza kupata chapati na chai?Umemuona miss neddy tu ndo wakukukaribisha??
Nikwambie kitu!
Eshy m.s miss u sanaaaaa nna njaa sana naweza kupata chapati na chai?
Hapana, miss neddy atafanya mengine....naomba niandalie tu
yes niambie
welcome back my dear utafiti nilikumiss kushinda wote ulipotelea wapi
Asante miss neddy..... I miss u sana miss wangu.... Niambie humu ndani kila kitu kipo sawa?
kila kitu kiko okay kukosekana kwako ndo kulipunguza furaha yetu kiasi