miss neddy has hotness that i cant stand..! lol its very sweetable! lovable! and all good!weweee haihusiani kila mmoja karudi kivyake ila ndo vile imetokea tukakutana! naona mkeo kashakufundisha umbea
Najua kiapo chetu ni mpk kuzikana..vizabizabina hawakosekani..lakini kumbuka panapofuka moshi hapakosi moto
Lisemwalo lipo..jua tu hom nahifadhi conc sulphuric Acid...just incase
Ondoa shaka.....
una maneno mengi hadi umemfanya Excel zoba! ye anafuata tu hata akidanganywa
Najua kiapo chetu ni mpk kuzikana..vizabizabina hawakosekani..lakini kumbuka panapofuka moshi hapakosi moto
Lisemwalo lipo..jua tu hom nahifadhi conc sulphuric Acid...just incase
Ondoa shaka.....
chezea mahaba niue nampa vitu adimu njoo nikupe ujuzi bureeeee
hii ndoa na idumu siku zote!!! Amen
ndo yeye believe me anafanya siri lol
hajaniroga.. mbona kaniruhusu kuwa na mke wa pili?sio bure umemroga
sio bure umemroga
Unajua hamna kitu kibaya kama kukamatwa na mfupa alafu hujala nyama embu kama vp lets do this for real
Cc miss neddy (kizabizabina) na Excel(multipurpose)
uwiiiiii! asipaone mpigapcha hapa
hajaniroga.. mbona kaniruhusu kuwa na mke wa pili?
afu Excel ukizidi kunitibua nitaweka madudu yako hadharani
hajaniroga.. mbona kaniruhusu kuwa na mke wa pili?
kakuruhusu ili ukimfumania aseme mbona nawewe unamichepuko?