I miss MMU and JF in general

I miss MMU and JF in general

Mwache apaone tu yeye si anaamin maneno ya shigongo?

hivi hawa mtu na mkewe mbona wambea hivi? kwani yanawahusu ati!? tufanye yetu sie hawatupunguzii wala hawatuongezei! wakatutangazeee na risiti wapewe! na wasipotutangaza tutawatangaza wao
 
hahaaaaaaaa we una lako jambo si bure

hivi ni kweli ww na huyu ndengereko ni touch ni touch au naotea mrembo?

em niambie niondoe hili fagio la chuma!

nimekumiss kimtindo ujue!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom