I miss MMU and JF in general

I miss MMU and JF in general

Hivi ni ukoo mmoja na ODM Asprinin? naona genetically ana chembechembe za ukaguzi wa wake za watu. ..
Mndengereko si alikuwa na ile policy yake ya teamR? ushamsahau? sasa ile team sasa hivi katibu kaingia mitini, mwenyekiti kapotezwa ndo anarudi...!!!

naona anajongea chamani mdo mdo!
 
Last edited by a moderator:
ndo kuanzia leo najipachika cheo cha mbeba mikoba yako unilinde lol

nakuona tu unavyojipendekeza! umbebee mikoba kakuomba? au kisa Excel katangaza safari ndo umeanza kampeni zako za kutafuta pa kujipachika? ukome kumsogelea sogelea Tyta wangu
 
Last edited by a moderator:
nakuona tu unavyojipendekeza! umbebee mikoba kakuomba? au kisa Excel katangaza safari ndo umeanza kampeni zako za kutafuta pa kujipachika? ukome kumsogelea sogelea Tyta wangu

ila shemeji nimependa ujio wako! dah..

you are soo talented..! even ur man didnt notice..! lol.
 
mpenz dont listen Excel's family... they dont like our success! wanapenda kuona tukiwa na conflict hny! just trust me

Unajua hamna kitu kibaya kama kukamatwa na mfupa alafu hujala nyama embu kama vp lets do this for real
Cc miss neddy (kizabizabina) na Excel(multipurpose)
 
Last edited by a moderator:
Unajua hamna kitu kibaya kama kukamatwa na mfupa alafu hujala nyama embu kama vp lets do this for real
Cc miss neddy (kizabizabina) na Excel(multipurpose)

fanyeni kweli umjue Tyta kiundani hadi mapicha yetu atayamwaga na enzi zile ulivyojiunga hata misele hujui kupiga nasubiri movie chepukeni tu
 
Last edited by a moderator:
Tyta dont look back! i dont trust the so called Mndengereko!

kwanini ujio wake ndo uwe ujio wa jiko lako? lol..

weweee haihusiani kila mmoja karudi kivyake ila ndo vile imetokea tukakutana! naona mkeo kashakufundisha umbea
 
Last edited by a moderator:
nakuona tu unavyojipendekeza! umbebee mikoba kakuomba? au kisa Excel katangaza safari ndo umeanza kampeni zako za kutafuta pa kujipachika? ukome kumsogelea sogelea Tyta wangu

hahahahahah umeanza kufa maji eeeeh nichepuke na mura yuko hapa hapa am not brn lol
 
Last edited by a moderator:
mpenz dont listen Excel's family... they dont like our success! wanapenda kuona tukiwa na conflict hny! just trust me
Najua kiapo chetu ni mpk kuzikana..vizabizabina hawakosekani..lakini kumbuka panapofuka moshi hapakosi moto
Mkuu seriously na wewe unaamini rumour za magazeti ya udaku ( miss neddy )
Lisemwalo lipo..jua tu hom nahifadhi conc sulphuric Acid...just incase
nakuona tu unavyojipendekeza! umbebee mikoba kakuomba? au kisa Excel katangaza safari ndo umeanza kampeni zako za kutafuta pa kujipachika? ukome kumsogelea sogelea Tyta wangu

Ondoa shaka.....
 
Last edited by a moderator:
Hahaha you are so damn fool.

why? you seem to be soo happy eenh?

but bro, you have a golden tongue you know! lol..

when you get lost, Eshy m.s get lost too, when you come, she comes too!

such a drama... hahahaaa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom