we mwanaume umetumwa?
we mwanaume umetumwa?
huyu Mndengereko ntamtoa front staff zote akose tabasamu...That's my king
Hahah..sina ukada mie..kama warioba vile..nataka 3na bado kijani...
huyu Mndengereko ntamtoa front staff zote akose tabasamu...
we mwache ajisogeze kwa malikia bila ridhaa...!
hahahhaha mafaili yako yangeanikwa hapa unishukuru mm
umeona eeeh anamchezea simba sharubu mwonyeshe ur side B
Really??
Mbaya tena sana...una madai ya kujibu hapa...huu undugu wa kuutafuta kwenye kamusi ww na Eshy una chembechembe na dosari lukuki bin kibwena...
keshatepeta malikia... mwache alale japo kibarazani kwa leo!
si unajua tena hana mke? lol..
Tyta dont look back! i dont trust the so called Mndengereko!mpenz dont listen Excel's family... they dont like our success! wanapenda kuona tukiwa na conflict hny! just trust me
huyu Mndengereko ntamtoa front staff zote akose tabasamu...
we mwache ajisogeze kwa malikia bila ridhaa...!
hahaha mke wake haeleweki kama serilaini ya ccm cc Mndengereko
Mkuu seriously na wewe unaamini rumour za magazeti ya udaku ( miss neddy )
huyu Mndengereko ntamtoa front staff zote akose tabasamu...
we mwache ajisogeze kwa malikia bila ridhaa...!