Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Guys what happening now days? ...humu jamvini hadi naanza kusahaulika ati.
Mkuu karibu tena mjengo huu wa kufurahi pamoja ila vipi kule mjengo wa baba na mama hawajambo? Na mjengo wa waheshimiwa wabunge, mawaziri, spika, waziri mkuu, makam wa rais pamoja na rais hawajambo?
ulipotelea wapi?? karibu tena.
Teh... nilidhabi Miss Chitchat imerudi lolest!!!!!
khe karibu kila kitu kimebadilka ivi uliacha kuna mwenyeketi?af akapewa ban kafunguliwa juzi tu uliza utaambia.af mimi miss wewe sana.
Unamiss chit chat wakati umejipoteza mwenyewe? Karibu tena
Mi nipo tu mbona? ulinitafuta wapi ukanikosa?Halafu wewe na wewe nimekumiss sana
Mi nipo tu mbona? ulinitafuta wapi ukanikosa?
amenishika kila mahali sigeuki wala siendi sehemu.
Duh... mwambiw awe anakuachia walau weekend tu unachungulia huku!!!!!!"!
nitamwambia ila naogopa nahisi limbwata inafanya kazi.
Mi nipo tu mbona? ulinitafuta wapi ukanikosa?