I miss being in relationship

Umeshapokea PM ngapi hadi sasa lilymashy?

Mimi nitakutafuta baada xmass!
 
Last edited by a moderator:

Tafadhali ukiona hawa watoto hawaeleweki nakuomba sana usini pm niambie tu livelive bila chenga kwamba hawaeleweki nitatoa msaada. Kuna msema wa kipare unasema..wekurivia ndama mthinghi ruva wedi yekiremwa kunwa unwemwenye...
 
Ni kweli kwa sababu dawa ya maumivu ya mapenzi ni mapenzi bora na siyo vinginevyo.......
 
Lily dear u just dont know how it is to b married o in relationship...wish I wsnt married
 
I miss being bachelor 😀😀 kufanya nacho kitaka sizinguliwi, holiday kila mwaka Spain, Italy, dubai, Canada, sasa nipo kwangu nalea vijana☺

We are on the same shit
How I wish ningekua najifanyia maamuzi yangu without consulting th so called husband
 
Have you prepared your checklist? I can guess your inbox is already full of those fast boys.
 
Kuwa kwenye uhusiano ni jambo lenye kheri hasa ukiwa na mtu ambae unampenda na yeye anakupenda.
Kila mtu hufarijika kwa kiasi kikubwa kuona Kuna mtu nyuma yake mwenye kumjari.

Inauna sana kuona unavaa nguo hakuna mwenye kukuambia umependeza. Inasikitisha sana kuona hakuna mtu mwenye kukupa faraja pindi unapopambana na Ugumu wa aina yoyote. Lakini ni simanzi na majonzi pia kuona huna mtu ambae ni msiri wako, mtu unaeweza kujifunua kwake na yeye akajifunua kwako.
 

me pia embu tujaribu basi relation
 

Sidhani Kama Usemacho Kina Ukweli Ndani Yake Hiyo Sign Ya Cheko Ina msisitizo Wa Kebehi Ndani Yake,ngoja Wenye Gubu Za Wake Zao Waje Wachangamkie Tenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…